Tumekula hela za magamba lakini kura kwa CDM hiyo kesho

gayo

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
238
93
Wakuu nimepata habari za uhakika kutoka kwa watu kama wawili waliofanikiwa kupewa hela za magamba ili wauze kura zao lakini wamenihakikishia kuwa kipindi hiki hawadanganyiki ngo.
 
Kwa hali ambayo nimeiona Arumeru mashariki, kuichagua CCM lazima uwe na UTAHIRA WA KUZALIWA.
 
[h=6]Asenga Abubakar
drP8vlvSl_8.gif
TANURU LA FIKRA
[/h][h=6]TUNAMSHUKURU MUNGU CCM TUMEFUNGA SALAMA KAMPENI KTK KATA YA KINGO'RI,CCM HATUPASWI KUWA NA MANENO MENGI ZAIDI YA waliokuja mkutanoni wote walikuwa na vitambulisho vyao na wamejiandikisha,nashangazwa na fujo nilizokutana nazo usariva na liganga chini, ambapo vjana waliovaa skafu na kofia za chadema waliwazomea watu waliovaa unifom za chama cha siasa ccm na kuwatukana.wana ccm hongeren kwa hekina z...enu za kupita salama na kunyamaza na wala wao wanapopita na unifom zao kwenye kundi lenu hamkuwazomea walakuwatukana. nimeshuhudia kwa macho mabasi yakitoka arusha na vjana waliovaa kofia na sare za cdm wakishushwa patani.WALIOFIKA KINGORI WATAKUBALIANA NAMI UMATI ULE WAWANACCM HAKUNA ALIEBEBWA NA USHAHIDI NIKUWA BAADA YAMKUTANO WATU WALITAWANYIKA KWENDA MAJUMBANI KWAO,NAJUA KATA ZA BARABARAN CDM WAMEJIPANGA KULETA FUJO KESHO BAADA YAKUTANGAZWA MATOKEO NA KUSEMA KURA ZIMEIBIWA KAMA SLAA alivyosema leo kuwa kura 10000 zilikuwa et zimeshapigwa,nawambia mfa maji aachii,,,,,,,,,,kwa uchunguzi wangu ccm inashinda kesho kwa zaidi ya kata 10,kama zanzibar kura 5300 kwa 200 za cdm bado walilalamika kuibiwa kura,hawataacha kama igunga,CCM tukishindwa kama kawaida ytu tutakubali matokeo na ndio maana leo kuna zito,mdee na mbowe bungeni. CHADEMA MKISHINDWA KUBALINI MATOKEO.IDUMU ARUMERUSee More
[/h]
 
WALIOFIKA KINGORI WATAKUBALIANA NAMI UMATI ULE WAWANACCM HAKUNA ALIEBEBWA NA USHAHIDI NIKUWA BAADA YAMKUTANO WATU WALITAWANYIKA KWENDA MAJUMBANI KWAO,NAJUA KATA ZA BARABARAN CDM WAMEJIPANGA KULETA FUJO KESHO BAADA YAKUTANGAZWA MATOKEO NA KUSEMA KURA ZIMEIBIWA KAMA SLAA alivyosema leo kuwa kura 10000 zilikuwa et zimeshapigwa,nawambia mfa maji aachii,,,,,,,,,,kwa uchunguzi wangu ccm inashinda kesho kwa zaidi ya kata 10,kama zanzibar kura 5300 kwa 200 za cdm bado walilalamika kuibiwa kura,hawataacha kama igunga,CCM tukishindwa kama kawaida ytu tutakubali matokeo na ndio maana leo kuna zito,mdee na mbowe bungeni. CHADEMA MKISHINDWA KUBALINI MATOKEO.IDUMU ARUMERUSee More
 
Utumwa ni dhambi mbaya sana.
 
Njaa mbaya....Aiseeeeeeeee!!!!!!!!!!!
 
Wakuu nimepata habari za uhakika kutoka kwa watu kama wawili waliofanikiwa kupewa hela za magamba ili wauze kura zao lakini wamenihakikishia kuwa kipindi hiki hawadanganyiki ngo.

Labda kama kura watapiga hao jamaa zako wawili..
 
hizo habari za kuunga unga si lazma upost km huna cha kuongea na kuconvice great thinkers alafu cdm acheni kutisha watu mara patachimbika au damu kumwagika najua hamuwajui wameru mrema anaweza kuwa na kumbukumbu nzur 1992,
 
Back
Top Bottom