Tumejaribu, Tumeweza Tunasonga Mbele. Kikwete are you serious?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,834
155,782
Leo dola imepanda hadi sh. 2007/=.
Sukari Moshi imefika sh. 3500/=
gharama za maisha zimepanda, kweli JK ameweza na anasonga mbele.
 
Hivi hawa kina Malaria Sugu, FF na magamba wengine hamuoni jahazi linazama?
Mtashikilia propaganda hadi lini?
Tutaandamana hadi M'kwere atoke madarakani.
 
sarafu yetu ni wapi inaelekea? Je ni kwenye Zimdollar na Faranga ya Zaire?
Mkulo na Ndulu wanafanya nini kuokoa jahazi?
 
aaahhh mtalii kama kawa kaenda kutalii Australia.... mama yangu weeeee
 
Leo dola imepanda hadi sh. 2007/=.
Sukari Moshi imefika sh. 3500/=
gharama za maisha zimepanda, kweli JK ameweza na anasonga mbele.

kuna wanafunzi wanasomea kwenyd madarasa ya nyasi. kuna watanzania hawawezi kuwasiliana na wenzao kwa kiswahili. tumethubutu tumeweza nini kama siyo pumba hizi?
 
Back
Top Bottom