Tumefungua ukinyozi ndani ya jiji la Istanbul karibuni nyote jamani

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,082
ambiola.jpg
istanbul.jpg
jackson.jpg
kamaliza nywele.jpg
kunyowa nywele istanbul.jpg
kunyowa tena.jpg
ngozi istanbul.jpg
nywele.jpg
nywele kunyowa.jpg
ambiola.jpg
istanbul.jpg
jackson.jpg
kamaliza nywele.jpg
kunyowa nywele istanbul.jpg
kunyowa tena.jpg
ngozi istanbul.jpg
nywele.jpg
nywele kunyowa.jpg
ambiola.jpg
jackson.jpg
kamaliza nywele.jpg
kunyowa nywele istanbul.jpg
kunyowa tena.jpg
ngozi istanbul.jpg
nywele.jpg
nywele kunyowa.jpg
 
Ungekuwa wewe ni Mturuki umefungua saloon hapa Tanzania, ungeambiwa "unafanya kazi ambayo mtanzania anaiweza" .... Hivyo you have to vacate our Land. Teh! Teh! Teh! Enjoy maisha ya ughaibuni kwenye demokrasia ya kweli.
Wabongo bana...tofautisha kuanzisha biashara na kuajiriwa....hao wageni wanaweza kuazisha biashara lakini sio kuajiriwa katika kazi ambazo wabongo wanaweza fanya....hata Turkey ndo wanavofanya tena wako strict kuliko hata hapa tz
 
Wabongo bana...tofautisha kuanzisha biashara na kuajiriwa....hao wageni wanaweza kuazisha biashara lakini sio kuajiriwa katika kazi ambazo wabongo wanaweza fanya....hata Turkey ndo wanavofanya tena wako strict kuliko hata hapa tz
Oh! Okay, sikujua. Maana nimesikia wakongo wakifunga saloon zao huko Sinza na kukimbia.
 
hongera mzizi mkavu, naona umebadilisha kazi, umeacha uganga wa kienyeji? wateja hamna? umekimbilia kinyozi sasa. hivi huko instambul kuna watu weusi wengi kama mlivyokuwa ugiriki?
 
Back
Top Bottom