Tumechoka na kutawaliwa mpaka kwenye lugha

GODON SPEE

Member
Jan 15, 2012
20
4
Hivi wataalam wa kiswahili wapo wapi?ama vyombo husika vina lipi la kusema katika hili?maana toka kiswahili kimesanifishwa kwa mara ya kwanza na waingereza mwaka 1930 tumeona kuna ukosefu kwa baadhi ya maneno ambayo yanavotamkwa ni tofaut na kuandikwa na yote hiyo imetokana na lugha hii ya kiswahili kusanifishwa na wageni bila kuhusisha wenyej wazarendo katika hili.mfano wa maneno hayo ni kama Mbu badala ya umbu,mbwa badala ya mmbwa na mengne ya aina hii yapo mengi tu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom