SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 43,707
- 60,758
Wewe na hizo chuki zako zinaendelea kuwa kioo cha aina ya chama chako....Kwa taarifa yako hadi sasa hakuna mbunge anayetibiwa na bunge kwani hawajamalisa process zake. Pili Zitto sio kama viongozi wako wengine wanaokimbilia kuwabebesha walipa kodi gharama za maisha yao na hajawahi kufanya hilo isipokuwa pale tu ambako alipokuwa na bima ya afya kupitia bunge.
Lakini cha zaidi hata gharama anazotumia kila siku kugharamia chama sikumbuki wakati alipowahi kuomba kuerejeshewa na chama tofauti na Mwenyekiti wako ambaye hata yale mamilioni anayopewa na hao mnaowaita mafisadi hudai ni zake na kulazimu fedha za chama kutumika kumlipa yeye.......Unadhani Mzee Sabodo anapolazimisha misaada yake iwe wazi katika vyombo vya habari sababu ni nini? Ama unadhani alikurupuka tu kutoa fedha zake bila ya kufanya background check ya watu anaodeal nao. Subirini pale atakapoanza kutaka mrejesho wa matumizi yake ndio mtakapotafuta pa kukimbilia....hatashindwa kutumia mamilioni mengine kutoa press statement magazeti yote ya Afrika Mashariki na hapo ndipo mtakapojua mbivu na mbichi.......
Mrejesho kauona mzuri idadi ya wabunge imeongezeka, matawi mengi yamefunguliwa,bendera zinapepea kila kona ya nchi, kwa ujumla mtandao wa chadema umepanuka ndiyo maana mzee Sabodo kaongeza dau na kaahidi kutoa zaidi. Wacheni kuwa vipofu kwa fedha ya mafisadi, ama kweli rushwa hupofusha , kwa msomi kama wewe kujifanya huoni maendeleo ya Chadema ni aibu.