Nani alikudanganya, nenda ofisi ya katibu wa bunge washapelekewa invoice!
Makamu wetu wa rais ameondoka kwenda Ulaya kwenda kufanyiwa check up ikiwa ni kama mwezi tu tokea apate madaraka hayo.
Inaelekea tumechagua makamu mgonjwa na sasa inakula kwetu.
Inasemekana ameelekea Uingereza.
Habari ndio hiyo tujadili.
Naukumbuka wimbo wa wagosi wa kaya, ulayaaa, ulayaaaa,
tupeni basi nasiye hizo hela tukatibiwe ulayaAA,
NI PESA ZA SISI WALIPA KODI WOTE.
ukiongelea ugonjwa nini makamu wa rais, tumechagua rais mgonjwa.
Ukweli usiopingika karibu theluthi mbili za viongozi wetu wa kisiasa ni waathirika wa vvu...........................ila hawapo tayari kukiri na kutuhamasisha kuwa wa wazi kwenye hilo............................Makamu wetu wa rais ameondoka kwenda Ulaya kwenda kufanyiwa check up ikiwa ni kama mwezi tu tokea apate madaraka hayo.
Inaelekea tumechagua makamu mgonjwa na sasa inakula kwetu.
Inasemekana ameelekea Uingereza.
Habari ndio hiyo tujadili.
wagonjwa wawili wakitabasamu