Tumebaki na Rais wa Uzinduzi, Safari na Misiba

we kafiri wa kisiasa ulimchagua nani kwa kishindo, uliempigia kakura kako yuko street akiongoza siasa za maji taka.
Kama sio kikwete unadhani mngepata muda wa kuropoka hv, mngeshughurishwa na matumbo yenu. Ama kweli maskini akipata masabuli hulia mbwata!
 
Raisi hawezi kufanya hayo yote bila msaada wako! Je wewe umechukuwa hatua gani..? Mfano kupambambana na rushwa je ushawahi kugoma kutoa rushwa!? Traffic amekukamata ushawahi kugoma kutoa kitu kidogo!

JK anaangushwa na watendaji na baadhi ya wananchi ambao wanatumika kisiasa..

Kipindi cha jk madudu mengi yaliofanywa utawala wa nyuma yaliibuliwa na kuwekwa hadharani!

Misiba ya kitaifa! Mlitaka aende nani???!

Kanumba?
 
Kikwete akibaki ndani ikulu utaongezwa mshahara?paye itapungua?akienda asiende kila mtu na staili yake ya maisha as long as ni rais wetu.b concernd na maisha yako ya familia yako,au unataka kikwete akuletee gari?hakuna serikali duniani inayomsaidia mtu afanikiwe if ur waiting for that am sorry ur in a wrong place.nakumbuka sunday school tulikuwa tunaimba kila mtu atabeba msalaba wake ....wako unataka umbebeshe kikwete,,mbona watoto wako nao wanakulalamikia oohh baba cku hizi atulii nyumbani?kwa nini hutulii nyumbani?oohh huna ela..sawa na presida nae ndo ivo kama wewe unavyowafanyia ktk familia yako kurudi watoto wamelala

Hivi unajua unaongea nini? Au unabwabwaja tu. Hapa tunahitaji kiongozi. Sio kwamba kuwa kiongozi basi umpe kila mtu neema. Hapana, kiongoz ni kuwajibika na kuwa responsible na matendo yako.
Mwandishi hapo juu ameongelea inflation and mambo mengine wakatha ambayo ndio facilitates maisha na uchumi wa huyo mwananchi. Kikwete angekuwa raisi wa marekani asingee kaaa hata mwezi mmoja. Ila nchi ya wapumbavu na wajinga wachache kama nyinyi ndio kisa leo mpka ni rais.
 
Raisi hawezi kufanya hayo yote bila msaada wako! Je wewe umechukuwa hatua gani..? Mfano kupambambana na rushwa je ushawahi kugoma kutoa rushwa!? Traffic amekukamata ushawahi kugoma kutoa kitu kidogo!

JK anaangushwa na watendaji na baadhi ya wananchi ambao wanatumika kisiasa..

Kipindi cha jk madudu mengi yaliofanywa utawala wa nyuma yaliibuliwa na kuwekwa hadharani!

Misiba ya kitaifa! Mlitaka aende nani???!

hata ukimtetea shame on him,hajawahi kutokea comedian kama yeye,hata kama kuna mapungufu ya mwanzoni ila angeweza kuziba,pale hatuna raisi ila tuna comedian
 
we kafiri wa kisiasa ulimchagua nani kwa kishindo, uliempigia kakura kako yuko street akiongoza siasa za maji taka.
Kama sio kikwete unadhani mngepata muda wa kuropoka hv, mngeshughurishwa na matumbo yenu. Ama kweli maskini akipata masabuli hulia mbwata!
Kama una akili ungejibu hoja, sio kuvurumisha kashfa, una uhakika gani kama sikumpigia kikwete huyu unaemtetea, unadhani ni wangapi waliokuwa wanampenda na sasa wanamchukia kwa mambo yake. kama wewe ni nyumba yake ndogo endelea kumtetea lakini mwishoni mwa siku haki inashinda dhuluma.
 
Vyuo vikuu vimeongezeka,shule za sekondari kila kata hapa nchini,miundombinu ya barabara za lami na mtandao wake uliosambaa nchi nzima.hayo ni mazuri machache kati ya mengi yaliyofanyika wakati wa serikali ya awamu ya nne.
 
hata ukimtetea shame on him,hajawahi kutokea comedian kama yeye,hata kama kuna mapungufu ya mwanzoni ila angeweza kuziba,pale hatuna raisi ila tuna comedian

huna hoja kaa chini wewe.unataka mporaji wa wake za watu au mwendesha danguro ndio awe rais?tuache chuki za rejareja kikwete ni mtu mwema sana
 
Hakuna wakati ambapo serikali imeongozwa kwa uwazi na kidemokrasia kama sasa.watu wanatukana watakavyo,wanatoa maoni yao,uhuru mkubwa wa vyombo vya habari.nampongeza kikwete kwa kweli.
 
Ni wakati huu wa kikwete ambapo tunashuhudia kesi nyingi za vigogo mahakamani huku wengine wakihukumiwa kwenda jela.
 
nchi inayumba, kama wana dini A wanaweza kutoa tamko na serikali ikatii hii ni hatari kwa usalama wa taifa, basi na wana dini B na hata C watakuja na matamko yao: YES tumefika hapa tulipo........... "hapa unaweza kumalizia na ile kauli ya mnyika bungeni kama ukipenda"

Naunga mkono hoja asilimia mia ingawa kwa hili la misiba bado nina wasiwasi nalo sababu juzi kwenye msiba wa mwangosi sikumwona kabisa..unless uniambie alikuwa safari lakini hata hivyo sijamwona kwenda kutoa ubani kama kawaida yake.
 
Kuna watu wanafaidika na udhaifu wa jk ndo mana mimacho imewatoka kupinga hoja hii ambayo ina ukweli 100%. tabu sana twiga kujificha kwenye kundi la swala
 
Tupe ratiba yake ya wiki hii. Wapi atakuwa anazindua. Kukata utepe naona kaamua amnyang'anye bilali.
 
Alidhani kuongoza nchi lelema, kujitoa anaona aibu kubaki ni presha tupu ndo mana ikitokea misiba kwake ni ahueni kwenda kurefresh...chezea ikulu wewe
 
Mwananchi mmoja mmoja wanamchango mdogo sana kama ukichukuliwa individually. Huwezi kumlaumu mwananchi mmoja kwamba yeye kaifanyia nini nchi yake kama ameweza kufuata sheria, analipa kodi na anafanya kazi zake kusaidia familia yake. Lakini serikali iko ili kukusanya na kuorganize nguvu za ujumla na mapato mbalimbali na kuyarudisha in terms of services. Rais ndio anasimamia mambo yote kwa kutumia serikali. Akishindwa sio kosa la mwananchi.
We DONT THINK GOVERNMENT CAN SOLVE ALL OF OUR PROBLEMS BUT WE DONT WANT IT TO BE THE SOURCE OF OUR PROBLEMS!!
 
Kapotolo,

Kama uliyoainisha kwa uchache sana hapo juu, ni wazi kuwa JK sio rais na wala hajaitendea haki taasisi hiyo kubwa na muhimu.

Hasara ya udhaifu wake tunalipa sisi wananchi, kila siku na popote tulipo ndani ya JMT. Ameshindwa jumla, he's a proper and complete failure!

Muda huu ni vema Watanzania tukajipanga kuanza maisha upya kabisa akiondoka. Inaweza kuwa mwaka huu, mwakani au 2015 lakini tunayo kazi kubwa sana ya kujijenga kama nchi.

JK ameshindwa hata kwenye vitu basic kabisa kama teuzi. Hivi hao watendaji ambao vipofu na mashabiki wake sikuzote hudai eti ndio wanaomwangusha je nani aliyewachagua? Si ni yeye na prince Riz ndio wanaowachagua, sasa iweje asibebe mzigo wa uwajibikaji kwa utendaji mbovu?
na sasa mnamsifia duuuuuu
 
t
Yule Rais tuliyemchagua kwa kishindo mwaka 2005 amepotea, Rais tuliyemtegemea - aboreshe uchumi na kuondoa umasikini, aongeze nidhamu kwa watendaji serikali, apambane na Rushwa, aboreshe huduma za jamii kama afya na elimu, akuze demokrasia nchini - hayupo tena.

Huyu tulienae

  1. [*=1]Ameshindwa kukuza uchumi na kuondoa umasikini - angalia mfumuko wa bei, angalia thamani ya shilingi inavyoporomoka, angalia deni la taifa linavyoongezeka, angalia jinsi idadi ya masikini inavyokua kwa kasi. n.
    [*=1]Ameshindwa kusimamia nidhani kwa watendaji wake - kila mtu serikalini anafanya la kwake, hakuna tena utendaji wa pamoja, malumbano kati ya mawaziri achia mbali huko kwenye chama chao yeye akiwa mwenyekiti, kila mmoja ni chukua chako mapema, uwajibikaji haupo tena.
    [*=1]Ameshindwa kupambana na rushwa - hapa ndio ameshindwa kabisa, na anakuja hadharani kwa jinsi asivyo na aibu na kuanza kutetea wala rushwa, mara Richmond ni ajali ya kisiasa, mara hakuna rushwa kwenye sakata la rada, simama barabarani uone polisi wanavyofanya rushwa kama haki yao, nenda mahakamani, nenda mahospitalini utalia jinsi rushwa ilivyohallalishwa,ameunda Takukuru isiyo na meno au iliyo na meno ya mtoto kung'ata vidagaa na kushindwa kuuma mapapa.
    [*=1]Ameshindwa kuporesha huduma za msingi za jamii - kipindi chake kimeshuhudia kuporomoka vibaya kwa kiwango cha elimu cha ngazi zote, wanafunzi wakifaulu darasa la saba bila kujua kusoma wala kuandika, sekondari ni wizi wa mitihani ndio order of the day, vyuo vikuu imekuwa ni uchakachuzi na madesa, sijui tunakwenda wapi. Afya ndio usiseme, watanzania wengi wanakufa kwa magonjwa yanayotibika kirahisi, hakuna vifaa tiba wala madawa kwenye vituo vya afya, wataalamu hawapo, kama wapo hawana ari ya kufanya kazi kwa ujira duni, watanzania wakimbilie wapi? Kipindi chake kimeshuhudia migawo ya umeme ambayo haijawahi kutokea toka nchi hii ipate uhuru.nk.
    [*=1]Demokrasia ndio imemshinda kabisa - angalia jinsi anavyofanya hila za kunyima watu uhuru wa kufanya siasa, ameamua badala ya kushindana kwa sera, sasa ni kushindana kwa ubavu wa nani ana majeshi, ameamua kunyima watu uhuru wa kupata habari kwa kufungia vyombo vya habari vinayoibua madudu ya serikali na kufikia hata kuua waandishi wa habari wanaohoji mwenendo mbaya wa ukosefu wa demokrasia nchini, ameamua kutumia vyombo vya habari vya umma kama TBC kuendesha propaganda chafu dhidi ya vyama vya upinzani vyenye nguvu.

Baada ya kushindwa yote haya, sasa atoke vipi?

  • [*=1]Ameamua kutoka kwa staili ya uzinduzi wa majengo, nyumba za kulala wageni (labda hotels - Arusha nakumbuka), vyuo nk., kazi ambayo ilikuwa ya Makamu wake ambaye hatujui wajibu wake hasa ni nini, lakini tulidhani hii ndio kazi yake.
    [*=1]Pia ameamua atoke kwa staili ya kuhudhuria misiba popote pale itakapotokea duniani.
    [*=1]Na pia anatoka kwa staili ya Vasco da Gama, hii haihitaji maelezo.

Rais wetu tafadhali sana, hatukuchagua kwa ajili ya kuhudhuria misiba na uzinduzi au safari, tulikuchagua kwa ajili ya mambo hayo matano juu. Utamaliza muda wako, utaondoka lakini ujue kama si sheria kukuhukumu basi historia itafanya hivyo.
tuwe na akiba ya maneno....na nadhani hata JPM atakumbukwa tu....
 
Back
Top Bottom