tumebadilika kiasi gani kutokae miaka hiyo hadi leo!?

lukindo

JF-Expert Member
Mar 20, 2010
8,466
9,028
wakuu heshima mbele.

nilitaka kupeleka hii kweny jukwaa la siasa lakini naileta hapa hili mtafakari uhalisia wa jinsi Mtanzania wa kawaida alivyo leo hii baada ya miongo zaidi ya 15 ya ujio wa hawa tuliowaita wakoloni.

Angalia jinsi mwananchi wa kawaida alivyo mvyonge
angalia jinsi Mabunge yetu yanavyoendeshwa
angalia uwezo wetu wa kufanya maamuzi yanayotuhusu ulivyo mdogo
angali hukumu zinazotolewa na Mahakama zetu.
...unaweza kuongeza mengine unayodhani yanaguza Waafrika na hasa Watanzania.
ug50px.jpg
George Wilson is wheeled in a rickshaw by Ugandans between 1906 and 1911. Wilson first came to East Africa in 1889 and was employed by the IBEAC - the company charged with promoting British trade interests in Africa. Photo by Cambridge University and Royal Commonwealth Society Library.

more: Corporate imperialists come knocking*- Uganda@50*|monitor.co.ug
 
Duh umekumbusha matukio ya mbali sana mkuu
Wanacnhi hawana hata viatu wanamsukuma mzungu akiwa kwenye suti
Ni dhana ya ubwana na utwana hiyo ambayo haina tofauti na sasa ambapo viongozi wamekuwa miungu watu kujiona wao ni waheshimiwa zaidi ya wale waliowaongoza
Dhana ya kugawana cake ya taifa haipo ila wao wakiwa waheshimiwa ndio wanagawana makombo hata hatuyaoni
ni dhana pevu sana na bado huo ubwana na utwana upo japo tunajiita kuwa tuko huru
 
mkuu hii picha na habari imenisumbua sana akili na ndio nikaileta hapa ili kusikia feelings za wanajamvi wengineo.

inavyoonekana hawa jamaa hawakupenda hiki walichokuwa wakikifanya lakini huyu mzungu kwa kushirikiana na 'vikaragosi' wachache wanaowafahamu, wanalazimika kwa kukosa jinsi.
Lakini ninavyowaangalia wakiamua wangeweza kubadilisha hiyo hali bali la kusikitisha zaidi nasi hatuna tofauti sana na hao jamaa!

Ni kweli enzi hizo hakukuwa na kuchagua kama unataka ama hutaki
Ilikuwa ni amri leo mzungu anaenda sehem anahitaji watu wa kusukuma mkokoteni wake mnachaguliwa bila kupenda na kazi yenu inakuwa ni hiyo
Kwa siku za sasa tuna kila sababu ya kuondoa mfumo huu dhalimu ila cha kushangaza watu wanaamua kuchagua ile njia ya kulazimishwa kufanya kitu wasichokitaka
Na hapo kinachowafanya wafanye hivyo ni rushwa inayotolewa
badala ya hao wanaokuja kuomba kura kwetu kutulazimisha tuwachague rushwa inapitishwa na inakuwa ni kama umelazimishwa tayari maana ushapokea ile rushwa huna tena utashi wa kufanya unalotaka ila utafanya kile ulicholazimishwa na yule aliyekupa rushwa
Badala ya kutumia sanduku la kura au utashi tuliopewa kuuondoa utawala dhalimu wanatumia rushwa na maguvu waliyonayo kuendelea kututawala
Sheria wanazotunga hazijatupa hata uwezo wa kuowaodoa wanapofanya madudu maana wamezifanya ziwalinde wao na utawala wao
Hatuna sauti wala wale ambao wangekuwa sauti tetu washafungwa midomo yao na gundi wamebaki kutetea uozo na kuwasifia mafisadi
 
Mcheki naye Idd Amini alivyowalipizia wazungu!
View attachment 53210Idi Amin: "We Africans used to carry Europeans, but now Europeans are carrying us. We are now the masters … They came from Britian and wanted to show that I really have power in my country."
Idi Amin7.jpg His Excellency President for Life, Field Marshal Al Hadji Doctor Idi Amin, VC, DSO, MC, Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Sea, and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Uganda in Particular. Idi Amin at swearing-in ceremony, October 02, 1975.

Idi Amin1.jpg
 
onesha na waarabu walivyokuwa nawatutoboa minyororo na kututwanga vichwa vyetu na shoka ili kila mtanzania akumbuke unyama wa muaarabu vile vile. Mzungu ingawa katufanya watwana lakini katuletea shule, hospitali, reli na makerere.

Utumwa wa CCM wakati wa chama chashika hatamu ulikuwa mbaya sana kulikoni mawazo ktk picha hii. Mtwara mpaka walimbea uchi wa mnyama. Sukari kwa follani, sabuni za kuogea ni zile za kuoshea vyombo. lakini hatulkuwa na mahali pa kulalamika wala kuandamana. Leo hii marekani katukomboa.

Kwa nini tusiandamane kulaani wezi wa mali ya umma waliotajwa na mkaguzi mkuu? Bado sisi wananchi tunabomoa nchi kisisi kwa kushirikiana na wana siasa wezi. Bidhaa mbovu zinazidi kuingia nchini ingawa tuna usalama wa taifa, Takuru na tanzania bureau standard. wewe hapo unapata picha gani?
 
Pamoja na ubaya wote wa Idd Amini, Lakini mimi binafsi nilimpenda kwa kurudisha heshima kwa waafrika I mean Once Goes Around! Comes Around! R.I.P Amin!
attachment.php

attachment.php
 
onesha na waarabu walivyokuwa nawatutoboa minyororo na kututwanga vichwa vyetu na shoka ili kila mtanzania akumbuke unyama wa muaarabu vile vile. Mzungu ingawa katufanya watwana lakini katuletea shule, hospitali, reli na makerere.

Utumwa wa CCM wakati wa chama chashika hatamu ulikuwa mbaya sana kulikoni mawazo ktk picha hii. Mtwara mpaka walimbea uchi wa mnyama. Sukari kwa follani, sabuni za kuogea ni zile za kuoshea vyombo. lakini hatulkuwa na mahali pa kulalamika wala kuandamana. Leo hii marekani katukomboa.

Kwa nini tusiandamane kulaani wezi wa mali ya umma waliotajwa na mkaguzi mkuu? Bado sisi wananchi tunabomoa nchi kisisi kwa kushirikiana na wana siasa wezi. Bidhaa mbovu zinazidi kuingia nchini ingawa tuna usalama wa taifa, Takuru na tanzania bureau standard. wewe hapo unapata picha gani?
nakumbuka kuna picha moja kwenye kitabu wakati nikiwa mdogo ya Mwarabu akiwa na msafara wa watumwa sasa mmoja wapo akawa ameshindwa kabisa kutembea na wenzake. Yule mwarabu kaangalia akimuacha labda atapata nguvu baadae arudi kwao au awe huru kwa hiyo akaamua kumfunga na kamba kwenye mti na kumuacha hapo.

Inaeonyesha wakati wenzake wanaendelea na 'msafara' mafisi yanaonekana yakimnyemelea kwa mbali na nadhani wenzake hawakuchukua hata dakika 20 yalikuwa yameanza kumla!

Nasikitika sana nikiona leo hii Waafrika kwa Waafrika tunafanyiana tunavyofanyiana!
 
hapo inawezekana aliona ni hasara kumuua mtu mmoja kwa risasi au hata kumaliza makali ya jambia lake kwa kumkata ndio akaamua kumfunga kwenye mti

Mbona IDDI AMIN kama yupo sahihi vile

Idd Amin alikuwa sawa kabisa namsivu sio vibaraka SA wanamchukia Malema kwa kuimba wimbo wakuwatenga wazungu washenzi hawa kabisa hata Patrice Lumumba alichukiwa kwakutoa maneno ya kuwalaani wazungu hiv waafrika tumelogwa na nani???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom