Tumeanza tena mawasiliano

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
37,216
78,162
Mara ya mwisho tulikutana sehemu..na kila mtu akachukua namba ya mwenzako...na tokea hapo kila mtu akawa na hisia za kimapenzi na mwenzake....siku namtafuta akaniambia yuko na mtu niliumia sana..kumbe mwenzangu alikuwa nahisia zaidi juu yangu...na sasa tumeanza tena mawasiliano ingawa yuko mbali na ana mtu wake.....Hisia zetu zimekua kama zamani ama zaidi...

Najiuliza itakuaje na yeye ana mtu wake?....karibu ataolewa..ila anataka niwe naye japo siku moja ...msaada wenu naomba
 
Mkuu angalia asije akazichukua mbegu zako akazipeleka kwa sangoma!
Wanawake washakuwa wabakaji!
 
Mwambie ahamie kwako!! Aachane huko aliko kama kweli mnapendana!! kama hawezi, potezea na acha kuwasiliana naye. Why should you wast your tym for something that's not yours?
 
Mara ya mwisho tulikutana sehemu..na kila mtu akachukua namba ya mwenzako...na tokea hapo kila mtu akawa na hisia za kimapenzi na mwenzake....siku namtafuta akaniambia yuko na mtu niliumia sana..kumbe mwenzangu alikuwa nahisia zaidi juu yangu...na sasa tumeanza tena mawasiliano ingawa yuko mbali na ana mtu wake.....Hisia zetu zimekua kama zamani ama zaidi...

Najiuliza itakuaje na yeye ana mtu wake?....karibu ataolewa..ila anataka niwe naye japo siku moja ...msaada wenu naomba

naona una kipaji cha kuhisi......................soma maeneo mekundu na jiulize ulijuaje haya?
 
sasa kama hisia zake ziko kwako, kwa huyo aliye nae anafanya nini huko?
Huyo binti atakuwa na mapenzi ya tamthilia. Anampenda kwa dhati huyu, lakini anahusiano na yule.
 
Watu wengine mnapenda kujipotezea direction nyie wenyewe! Wewe ameshakwambia ana mtu lakini unazidi kuzilazimisha hisia zako zikupe matumaini eti kisa anataka kuonja kwako!! Hebu mwambie amuache mwandani wake aje kwako uone kama atakubali! Acha upoyoyo tafuta chacho, mwanaume lazima usimamie upande wako na uwe na uhakika na ulicho nacho sio kuhang hang tu eti mradi mapenzi. Jisachi......................
 
Nimekumbuka tangazo fulani hv,mgongo chura halafu linatokea bus linawaambia hamieni huku!je wewe ni gari kubwa?
 
umefikiria nini ndugu
Umeshapitwa, pole na tafuta akufaaye
Usimharibie mwenzio, cha mno mtie moyo tu huyo mdada ili afanikiwe katika safari yake
Hisia zako dhidi yake zibadilishe direction na zimtafute mwingine
Kumbuka apandacho mtu ndicho atakachovuna
 
Mwambie ahamie kwako!! Aachane huko aliko kama kweli mnapendana!! kama hawezi, potezea na acha kuwasiliana naye. Why should you wast your tym for something that's not yours?​

...ndio maana naomba ushauri...
Watu wengine mnapenda kujipotezea direction nyie wenyewe! Wewe ameshakwambia ana mtu lakini unazidi kuzilazimisha hisia zako zikupe matumaini eti kisa anataka kuonja kwako!! Hebu mwambie amuache mwandani wake aje kwako uone kama atakubali! Acha upoyoyo tafuta chacho, mwanaume lazima usimamie upande wako na uwe na uhakika na ulicho nacho sio kuhang hang tu eti mradi mapenzi. Jisachi......................​

nayafanyia kazi
 
Back
Top Bottom