Tume ya Warioba kutafuna bil. 40/-

Ni kweli kiasi hiki ni kikubwa mno. Lakini, ifikie mahali tukubali kuwa gharama ni lazima kwa mambo fulani fulani. Kwa mtu ambaye ametoka nje ya Dar na hana mshahara wowote na kwa upande mwingine anafamilia, kiasi hiki ni kikubwa lakini sio kikubwa sana. Lazima tukubali kuwa usifike wakati mjumbe mmoja akajiuzulu kwa sababu tu, nachokipata katika tume hii hakilingani na mapato yake nje ya tume. Watu walioteuliwa ni watu ambao ni waadalifu kwa kiwango kikubwa, ni weledi waliotukuka na wana hadhi inayowafanya wasiwe omba omba. Nawashauri watanzania wenzagu tukuikubali gharama hii kwa kazi muhimu.
Kama hii ni posho wanayolipwa kujikimu wanapokuwa nje kikazi, wala hatuna sababu yoyote kuhoji kiasi hicho kwani ni cha kawaida kabisa. Kinachotushitua ni maandishi ya mleta mada kuwa wanalipwa kila siku tangu waanze kazi bila kujali wametoka au la. warioba, Salim na jaji Augustino wote wanalipiwa nyumba hapo Dar, wanalipiwa wapishi na wanalipwa pensheni inayowatosha kuishi bila dhiki yoyote. Kama na wao wanalipwa posho hizo wawapo Dar, watakuwa wezi sawa na wezi wengine unaowafahamu na lazima wakemewe.
 
Kama hivyo mbona ni kidogo sana? hata dollar 200 kwa siku haifiki. Mie kama malipo ni hayo ningejitowa kwenye kamati, kazi zangu zinaniingizia zaidi ya hizo kwa saa 1.
Nakufahamu sana, ni kweli kwani kila post unayoweka hapa JF baada tu ya hapo unabisha hodi pale kwa Mwigulu Nchemba na kukukabidhi kitita kama mshindi wa shindano la Vodacom M-PESA! Hata kwenye hii thread kufikia jioni utakuwa una $ 2,000! Hivi kumbe na nyie wenye Magamba a.k.a Chama cha Majambazi mmetelekeza madafu sasa mnalipana kwa dola? Duh, mmeendelea.....??????!!!!!!!!! Hongereni sana!
 
Source muandaaji wa malipo.

Jamani watu wanapopewa madaraka katika serikali yetu huwa kuna kamsemo "KAULA" sasa ndo nazidi kupata picha ya kauli hiyo.

Je ni watanzania wangapi wanaweza kuamini kuwa wajumbe wa kamati ya katiba wanalipwa sh. 300,000/= kwa siku katika shughuri zao toka waapishwe?

Najua sio rahisi kuamini lakini ndo ukweli wa mambo.

Na mtoa taarifa kadai kwanza tume hii haikuwa kwenye bajeti na imechangia kukwamisha baadhi ya miradi na huduma kwa jamii kwa sababu lazima walipwe na watimiziwe wanayotaka.

My concern;
Sasa kama wanafunzi wanakosa mikopo na wafanyakazi wanakosa mishahara kwa wakati kwa manufaa ya wachache tunaenda wapi????

kwangu naona kulipwa hko kiasi sio issue,kwani ni pesa ya kawaida sana ukilinganisha na watu wangne wanaofanya shughuli ambazo hazileti impact za moja kwa moja i.e wabunge wa viti maalum,wajumbe wa bodi mbalimbali.
Issue kubwa kutumia pesa za bajeti ambazo zilikuwa kwa ajili ya mambo mengne.
 
ni kweli wanalipwa laki 3 hata sefue alisema wajumbe wataishi ktk hali nzuri!jk kasalimiana na david bechkam airport uk
 
ww mtoa mada acha
kuwadanganya watu wenye akili zao,apo kwenye 300,000 mi sjui lakini
Wamenunuliwa magari 60 sio kweli,we sema una yako ya kunyimwa boom,
jipange upya apo tunekushtukia.

we kweli Mangilaza: unabainisha hujui kitu kisha unamponda mtoa taarifa hiyo ni akili kukosa akili!
 
i tuangalie kazi wanayofanya na malipo yenyewe, wengi ni wafanyakazi wa taasisi mbalimbali, wameacha majukumu yao, familia zao kwa wanaotoka nje ya dar es salaam, kuna mbunge atakosa posho yake ya siku, wahadhiri n.k kwa ajili ya kufanya kazi hiyo. Pia kuandaa katiba mpya ni gharama, "tumetaka cha uvunguni sharti tuiname" hatuna namna.
 
Ni upuuzi tena wa kukubuhu kudhani kuwa ukiwa mjumbe wa Tume ya Katiba ni risk. Risk ipo wapi kama siyo njia ya kuhalalisha ufisadi tu. Na hayo mahela wanayolipana yanatoka wapi? Mbona kwa wanafunzi tunaambiwa serikali haina hela ya kuwalipa wanafunzi mikopo yao. Nchi hii natamani nimkamate RAHISI KIKWETE na kumpeleka THE HEGUE mara moja.
 
Serikali na mashushushu wake wa TISS waweke hili swala wazi maana wakikaa kimya tutawauliza watakapopita huku uraiani. Kwa nini iwe siri alhali kazi ni ya watanzania na watanzania ndo wanaowalipa wao? Mishahara na posho za viongozi serikalini mboana ni siri sana? mifumo ya wizi wizi tu nchi hii...........
 
Kwa wasiotaka kuamini kuwa tunawalipa haya malipo basi. Ila nchi hii inaliwa na wachache hasa wanasiasa
 
kama ni kweli huu ni ufisadi mkubwa na inadhihilisha tatizo letu kubwa la kutokuwa na vipaumbele
 
Kwa maoni yangu wako underpaid unless wanalipwa na mshahara pia ambao mtoa mada hajautaja.

Kuna watu wengi sana hapa mjini wanakunja zaidi ya hiyo hela kwa kupiga misele sembese watu wanaotuandalia mstakabali wa taifa letu?
 
haaaa! Mangimeli. we hujui kua magari 60 yameagizwa?!! mbona siku wanakabidhiwa ofisi hilo lilitamkwa na waziri Chikawe!! ''no research no right to speak''
 
Last edited by a moderator:
Data zako ni sahihi kabisa.Hawa jamaa wamenunuliwa na Freemasons ili waingize ujinga wao kama ushoga kwenye katiba.Nawashanga akina Mvungi, Warioba ,Butiku na Baregu kukubaliana na ufisadi unaofanywa na tume,huku wao ndio waliokuwa wanajifanya Makomandoo dhidi ya vita ya ufisadi.Ndugu zetu poleni sana,kumbe ilikuwa njaa tu. tayari.
Source muandaaji wa malipo.

Jamani watu wanapopewa madaraka katika serikali yetu huwa kuna kamsemo "KAULA" sasa ndo nazidi kupata picha ya kauli hiyo.

Je ni watanzania wangapi wanaweza kuamini kuwa wajumbe wa kamati ya katiba wanalipwa sh. 300,000/= kwa siku katika shughuri zao toka waapishwe?

Najua sio rahisi kuamini lakini ndo ukweli wa mambo.

Na mtoa taarifa kadai kwanza tume hii haikuwa kwenye bajeti na imechangia kukwamisha baadhi ya miradi na huduma kwa jamii kwa sababu lazima walipwe na watimiziwe wanayotaka.

My concern;
Sasa kama wanafunzi wanakosa mikopo na wafanyakazi wanakosa mishahara kwa wakati kwa manufaa ya wachache tunaenda wapi????
 
Back
Top Bottom