Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) yaanza kutoa orodha ya waliochaguliwa kwenda Vyuo Vikuu

jamani wana jamii mwenzenu nimekosa mkopo eti fani niliyoomba si kipaumbele cha taifa yaani Bsc.computer
 
ni kweli tcu wametoa matokeo ila mtandao upo slow kupita maelezo; chakufanya ukitaka kujua umechaguliwa nenda kwenye wavuti ya bodi ya mikopo pale wametoa majina ya waliochaguliwa kwa kila chuo na kiasi cha mkopo aliochopata; au njia rahisi zaidi ya kujua kwa haraka ingia google andika jina lako kamili, au username uliyotumia kwenye formu ya mkopo ambayo ni index no yako ya o-level pamoja na mwaka uliomalizia shule(mfano S0553.0223.2007) and then search kama umechaguliwa jina lako na hiyo username yako itakuja ukibofya hapo utapa chuo na urodha ya waliochaguliwa kwenye chuo hicho; ili kupata jina lako kwenye orodha hiyo nenda edit kwenye kona ya kushoto juu ya kumputa yako bofya hapo; then chagua find on this page; bofya kwenye find on this page itatoka nafasi, andika username yako then press enter hapo utajiona kama kweli upo!
 
Nina hamu ya kuangalia orodha ya UDOM maana waarabu wamempa masharti kwamba namba ya waislam wazidi 75% ya total number ! maana wao ndo wafadhili wakuu. It is shameful that JK will leave the post with the legacy of nepotism
 
Hiyo ni kutokana na mtazamo wako na ubinafsi wa kutaka msome ninyi pekeenu fanya research ndugu
 
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
NA wanaofaulu ni asilimia ngapi? Si ajabu hata hiyo kumi wamependelewa. Wewe ulisoma primary, hebu angalia watu waliokuwa wanakaa mgongoni kwako, kushoto kwako, kulia kwako na mbele yako walikuwa watu gani? Na wakafaulu vipi mlipoondoka hapo? Kuna mwislamu yoyote mwenye sifa kalalamika kutochaguliwa shule? Sasa hizi asilimia 75 unataka mkawachukue hata wauza machungwa? Hebu tuache ujinga bwana. Ati fanya utafiti, utafiti kaangalie wangapi walikuwa na sifa, tena sio sifa tu, maana sifa pia waweza ukawa nayo, mwenzako akakuzidi ukaachwa.
Utawapata wapi huku juu kama huko chini hukuwanao? Wenzenu walikuwa wanaenda sunday school jumapili asubuhi, na siku zote tuition, wewe sijui ulifanyaje...

wachina wanamsemo wao kwa lugha ya kizungu ni"no research no right to speak" nakushauli kabla ujawalaumu waislam kwamba elimu hawataki tafuta vitabu then soma ujue mambo yaliyofichwa kwa makusudi mfano kitabu KANISA KATOLIKI NA SIASA ZA TANZANIA By Padri JOHN SIVALON. Au nenda google tafuta histori za watu wafuatao ; mfano sheakh Salum kiamu -huyu aliwahi kuandikia barua rais jk nyerere kiomba usawa wa fursa za kielimu. Sheakh hasan bin amir (mufti). Abdulwah sykes au kasome kitabu MAISHA NA NYAKATI ZA ABDULWAH SYKES(1924-1968). Wapo wengi ambao bahati mbaya wamefutwa kwenye historia kwa makusudi .msiwe mnalopoka tu someni .
 
Yaani, these people are completely INCOMPETENT. They cannot even present a list of names properly much less on time. Their graduate degrees ought to be MI, that is Master of Incompetence. I hear that some of these professors have fake PhDs just like a good number of their fellows in politics. To put such incompetent people in charge of the entire country's university education is criminal and in fact tantamount to treason. There is no better way of destroying a nation than destroying the thinking capacity of its future leaders.

Actually what you are talking is exact. It is better for those who were granted the position in those offices to leave the chance for others who are definitely complete for further development!!!.
 
Nimechaguliwa Vyuo zaidi ya kimoja wamenitumia namba ya kuthibitisha udhahili wangu ila inagoma, nawacheck TCU namba zao zinaita tu hawapokei
 
Back
Top Bottom