Tume ya uchaguzi taifa yaandaa uchaguzi wa madiwani 30 nchini kote

Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,375
3,655
Tume ya taifa ya uchaguzi inatarajiwa kutoa taarifa zaidi ili kufanikisha chaguzi ndogo za madiwani wapatao 30 nchini kote CHADEMA KAZI KWENU!
 
Ni mpambano mwingine wa ccm na cdm. Lets see.
Nakuomba utusaidie kuweka hapa kata zenye uchaguzi!
 
Back
Top Bottom