Elections 2010 Tume ya Uchaguzi na Utangazwaji wa matokeo ya uchaguzi

UmkhontoweSizwe

Platinum Member
Dec 19, 2008
8,520
7,723
Jamani, nimepitiwa au ndo hali halisi. Mbona sijasikia kama Tume ya Uchaguzi wako tayari kuruhusu uwepo wa vyombo vya habari kwenye chumba cha kujumlishia na kutangazia matokeo ya uchaguzi mkuu?
Naamini kama wangefanya hivyo, na kukawa na chumba maalumu kwa kazi hiyo, vyombo vingi vya habari, hasa vituo vya TV vingekuwepo kutupatia live updates.
Hiyo pia ingewasaidia tume yenyewe kuepuka lawama na tuhuma za kuhusika kuchakachua matokeo.
Mhe. Makame, vipi hapo?
 
UmkhontoweSizwe, you seem to have a point there, but I am afraid, letting that happen; would contradict the startegy behind the EVIL curtain.
 
So, you mean NEC is involved in the evil strategy behind the curtain? But, having open tallying would make them more credible than getting involved in chakachuaring the results.
 
NEC is not independent. They will not accept that.

Hawa ndugu wanaendeshwa kwa remote control na CCM and Usalama wa Taifa in favour of the rulling elites.
 
So, you mean NEC is involved in the evil strategy behind the curtain? But, having open tallying would make them more credible than getting involved in chakachuaring the results.

Not necessarily that way....but as you damn well know...it's all about independence. My comrade TARTOO has clarified, and, I should not be repeating his/her perfect answer.
 
Back
Top Bottom