Tume ya uchaguzi; "Hatujapewa nakala ya hukumu igunga", je, chadema walipewa barua?

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,558
25,322
Kuizuia chadema wasifanye shughuli zao za kichama kwa ajili ya kupisha sensa kunaambatana na sheria ipi
please! Open your gets of logics.

Tuliivunja KAR baada ya kuona haina mwelekeo wa kulinda mipaka ya nchi yetu, tukaanzisha badala yake JWTZ lenye heshima sana mpaka leo.

Mwenendo na Mwelekeo wa polisi wa tanzania hautofautiani kwa taathira na marehemu 'KAR' kwa kuzingatia wajibu wetu kikatiba tutakosea nini tukilivunja hili jeshi, na kuweka mbadala kama nyakati za 'KAR' come JWTZ?

hawatakwepa mashtaka, ccm wamewashindwa kuwabana chadema bungeni, iweje polisi wakubali kutumika na ccm kwa vita waliyoishindwa kisheria na kikatiba bungeni?

Naomba kutoa hoja.
 
Back
Top Bottom