Tume ya taifa ya uchaguzi [nec] yafanya uteuzi wa mbunge viti maalum chadema

Sijui, nielimishe. Dont criticise UNLESS you are willing to EDUCATE! It is called CONSTRUCTIVE CRITICISM! Kapish?
Taratibu za uteuzi hufanywa na chama husika NEC huwa ni kuthibitisha tu. Hata huyu alishapendekezwa na chama chake kwa misingi hiyo NEC haina mamlaka ya kubadili kitu kazi yao ni kugonga muhuri basi. Nafikiri hata mleta mada amelizungumzia hilo.
Uteuzi huu umekamilika mara baada ya taratibu zote za kimichakato inayohusiana na taratibu za NEC mara baada ya kuwasiliana na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo[CHADEMA] kwa ajili ya uthibitishaji wa mwisho
 
Hongera ndugu yake slaa, Paresso jina la kwetu kabisa yesu wangu! jiimarisheni kama TRA. Tena ngoja tufanye uchunguzi isijekuwa nae shemeji yetu.
 
Hv kuna ulazima wa kuwa na viti maalum kwani bungeni hawatoshi wa majimbo hadi tuanze kupeana viti vya chupi!!!!!!
Kawaulize kina Mary Chatanda, Vick Kamata, Catherine Magige waliingiaje bungeni.
 
Mbona wewe umetoa hongera kuna mtu kakuambia kitu? Mkuu wewe upo moyoni kwangu mpaka useme hivyo?

kaskazini ni watu wenye akili sana!!!!!!! wanaweza wakati mwingine wakaonekana si wamoja lakini!!!!! hongereni sana
 
chama, wananchi na taifalimekuamini kuwa utafanya kazi vizuri kwa mjibu wa sheria sasa usituangushe Mungu akupe nguvu mpya ktk kazi hii
 
  • TAMUCHUNGU

    24th January 2012 12:07
    #1
    Senior Member Array


    Join Date : 23rd January 2012
    Posts : 130
    Rep Power : 253



    [h=2]
    icon1.png
    Mrithi wa REGIA ni Cecilia Paresso[/h]
    wakuu heshima kwenu sana.
    taarifa za uhakika nilizozipata ni kwamba mrithi wa Rejia anatoka karatu anaitwa Cecilia Pareso.nampongeza sana mpambanaji mpya.

    mwenye CV Yake aimwage hapa tafazali






  • [h=2]
    icon1.png
    Re: Mrithi wa REJIA ni Cecilia Paresso[/h]
    Wanazidi kutudhihirishia kuwa hiki chama ni cha watu wa KASKAZINI!!!​




  • [h=2]
    icon1.png
    Re: Mrithi wa REJIA ni Cecilia Paresso[/h]
    naskia ni diwani huko wilayani karatu​



    [h=2]
    icon1.png
    Re: Mrithi wa REJIA ni Cecilia Paresso[/h]
    Sasa wewe unataarifa za uhakika halafu unaombe ssis tukupe cv yake?​

    #5


  • [h=2]
    icon1.png
    Re: Mrithi wa REJIA ni Cecilia Paresso[/h]
    Kama ni kweli mpe hongera









  • [h=2]
    icon1.png
    [/h]
    quote_icon.png
    By Rejao
    Wanazidi kutudhihirishia kuwa hiki chama ni cha watu wa KASKAZINI!!!



    Pigia jibu msitari.​

    You like this.



    Reply Reply With Quote









  • [h=2]
    icon1.png
    Re: Mrithi wa REJIA ni Cecilia Paresso[/h]
    quote_icon.png
    By TAMUCHUNGU
    wakuu heshima kwenu sana.
    taarifa za uhakika nilizozipata ni kwamba mrithi wa Rejia anatoka karatu anaitwa Cecilia Pareso.nampongeza sana mpambanaji mpya.

    mwenye CV Yake aimwage hapa tafadhali.



    Toka huko umejiunga jana unakuja na habari ambayo tayari ishatolewa ufafanuzi.

    Rejao
    Wanazidi kutudhihirishia kuwa hiki chama ni cha watu wa KASKAZINI!!!


    Na wewe nawe hamna kitu! kichwani kama avatar yako yenye nywele za kisogoni.​




  • [h=2]
    icon1.png
    Re: Mrithi wa REJIA ni Cecilia Paresso[/h]
    Nasikia dada huyu aliwahi kusababisha ugomvi wa kindoa na aliyekuwa mke wa zamani wa****** ambaye hivi sasa ni mbunge wa viti maalum, Rose Kamili.​




  • [h=2]
    icon1.png
    Re: Mrithi wa REJIA ni Cecilia Paresso[/h]
    Dah, Kweli Kufa Kufaana.




  • [h=2]
    icon1.png
    Re: Mrithi wa REJIA ni Cecilia Paresso[/h]
    Wao waliomteua wanalidhika na CV yake sasa wewe ya nini?Kwa hiyo wewe haumini waliomchagua?​




  • [h=2]
    icon1.png
    Re: Mrithi wa REJIA ni Cecilia Paresso[/h]
    quote_icon.png
    By TAMUCHUNGU
    wakuu heshima kwenu sana.taarifa za uhakika nilizozipata ni kwamba mrithi wa Rejia anatoka karatu anaitwa Cecilia Pareso.nampongeza sana mpambanaji mpya.mwenye CV Yake aimwage hapa tafadhali.




    Kwa nini haukuuliza toka hicho chanzo chako cha uhakika kikupe cv ya huyo mtu?​




  • [h=2]
    icon1.png
    Re: Mrithi wa REJIA ni Cecilia Paresso[/h]
    Au Ndo namna ya kujihakikishia kuwa makoloni yanakuwa karibu mda wote​






  • [h=2]
    icon1.png
    [/h]
    quote_icon.png
    By Kadakabikile
    Kama ni kweli mpe hongera.



    dk slaa atakuwa ana cv yake coz alipokuwa mbunge wa krt kpnd kile alikuwa akiishi pale kwao,dingi yake na cecilia ni swahiba a dr slaa!wenye cv yake atupe!​




  • [h=2]
    icon1.png
    Re: Mrithi wa REJIA ni Cecilia Paresso[/h]
    Wasifu wake mojwapo ni ukaribu wake usio wa kawaida kati yake na aliyekuwa mgombea urais aliyeshindwa na kusema kura zake zimechakachuliwa​




  • [h=2]
    icon1.png
    Re: Mrithi wa REJIA ni Cecilia Paresso[/h]
    quote_icon.png
    By Safari_ni_Safari
    Sasa wewe unataarifa za uhakika halafu unaombe ssis tukupe cv yake?



    mkuu mimi nimetoa kile nilichonacho kama nawe una cha kutuongezea si vibaya wana JF tukamfahamu vizuri​


    [h=2]
    icon1.png
    Re: Mrithi wa REJIA ni Cecilia Paresso[/h]
    quote_icon.png
    By Uda
    dk slaa atakuwa ana cv yake coz alipokuwa mbunge wa krt kpnd kile alikuwa akiishi pale kwao,dingi yake na cecilia ni swahiba a dr slaa!wenye cv yake atupe!



    vyeo vya marafiki na undugu kumbe hata chadema viko maana tunaambiwa na kuaminishwa kuwa ni Jk tu ndiye anachagua watu wake wa karibu



  • [h=2]
    icon1.png
    Re: Mrithi wa REJIA ni Cecilia Paresso[/h]
    Katika vyama vya siasa hapa nchini suala la fairness ni kitu cha muhimu sana ikiwa ni pamoja na nafasi za uteuzi.

    Ni vizuri sana kwa vyama hivi vinavyojiimarisha viwe vinaepuka kasoro ndogo ndogo kama hizi ambazo tunazilalamikia kwenye magamba.​








  • [h=2]
    icon1.png
    Re: Mrithi wa REJIA ni Cecilia Paresso[/h]
    quote_icon.png
    By Rejao
    Wanazidi kutudhihirishia kuwa hiki chama ni cha watu wa KASKAZINI!!!



    sheria za uchaguzi na uteuzi wa wabunge wa viti maalum unazifahamu? waombe wajf hapa watakupa nadhani utaridhika. Kwa kifupi tume ya uchaguzi ndiyo inapendekeza jina , linapelekwa ktk chama husika kupewa baraka.



  • [h=2]
    icon1.png
    [/h]
    quote_icon.png
    By MAMA POROJO
    Nasikia dada huyu aliwahi kusababisha ugomvi wa kindoa na aliyekuwa mke wa zamani wa****** ambaye hivi sasa ni mbunge wa viti maalum, Rose Kamili.



    mhh jf ni zaid ya habar​




  • [h=2]
    icon1.png
    Re: Mrithi wa REJIA ni Cecilia Paresso[/h]
    quote_icon.png
    By NYENJENKURU
    Wao waliomteua wanalidhika na CV yake sasa wewe ya nini?Kwa hiyo wewe haumini waliomchagua?



    Wao waliomchagua wanafuata Cv iliyoandikwa tunahitaji CV ambayo haijaandikwa na inatoka kwa watu wanaomfahamu



 
Back
Top Bottom