Tume ya PM Pinda na madaktari hali si shwari

Siku zote serikali hii tuliyonayo huwa haitibu tatizo bali ina deal na effects za tatizo lenyewe huku ikiliacha tatizo kama lilivyo,pinda anadhani kwa kufanikiwa kuwatuliza ma dr. hawataweza kujimobilize tena na kuanzisha mgomo mwingine,ngoja tusubiri tarehe 3 mbona sio mbali.

"PANAPOFUKA MOSHI; UKITAKA KUUFUTA ZIMA MOTO CHINI" source - Justin Kalikawe(RIP)
 
Isije ikawa tume hiyo inafanya kazi chini g a Uangalizi wa Blandina Nyoni na Mtasiwa, maana kuna thread humu ndani inasema Blandina bado yuko kazini. Wadau fungukeni
 
Nyepesi nyepesi nilizozipata kutoka kwenye vyanzo aminifu ni kwamba hali si shwari hata kidogo kati ya Tume aliyoiunda mheshimiwa Bw.Mizengo pinda ya kushughulikia mgogoro wa madaktari ambayo inatakiwa iwe imemaliza kazi kabla ya 3/3/2012

-Serikali imecheza siasa kujaribu kuwagombanisha/kuwachangaya pande mbili za madaktari i.e. kamati ya Ulimboka na kwa upande mwingine viongozi wa MAT na inaelekea kufanikiwa kwani kuna mgogoro unaofukuta chini kwa chini ili kuvunja umoja huu.
-Sasa ninavyoongea ni kwamba hata MAT wenyewe kwa wenyewe hawaelewani kwani kuna kiongozi mmoja wa ngazi ya juu amefikia hata hatua ya kutishia kuachia ngazi.
-Tume ya Ulimboka wameamua kujiweka pembeni kwa sasa, na wanasubiri tu ifike hiyo tarehe 3/3, kama bado hakieleweki waitishe tena mgomo.
-MAT wanaonekana wamekuwa'fixed kwani wamekuwa legelege sana kimsimamo

MY TAKE: Madaktari wako imara sana, huo mchezo mchafu hautafanikiwa kamwe, naona Serikali wanasahau haraka sana kile
kilichotokea wiki 2 zilizopita..Hili halipaswi kutokea tena mbele ya macho yetu wananchi..CHONDE CHONDE BWANA
PINDA KUWA MAKINI!!!!

mtoto wa mkulima, anajiandaa kwenda kumpumzika, hana cha kupoteza
 
Wajameni hebu hao wakubwa waweke mambo yao vizuri, wasiturudishe tulikotoka, wakirudia wajue ARUMERU wameikosa
 
Serikali wana ahirisha matatizo tu. Inasikitisha kuwa hakuna umakini kwenye kushughulikia mambo. Sioni ni kwa nini hili suala linashughulikiwa kisanii tena. Kama madaktari wana madai ya msingi watimiziwe. Hii nchi sijui ni ya sayari gani hii. Mimi sio daktari lakini kama mtu ananidanganya kwenye mambo ya msingi ili nikubali kizuzu, lazima niwe mkali kuliko mwanzoni. Ni uendawazimu watu wazima tunachezewa hivi. Kama wanaleta usanii kwenye hili suala nawashauri madaktari wajipange kuchukua hatua kali kuliko mwanzo.
 
Mara nyingi siasa inaharibu mambo.Unapokuwa kiongozi wa siasa epuka kusuluhisha mambo kwa kutumia siasa.Maana siasa haina hata chembe ya usuluhishi zaidi ya kuzalisha ugomvi mkubwa.Lazima viongozi wajue kutenganisha kati ya siasa na utawala/menejimenti.Anachojaribu kufanya Pinda ni kuua umoja wa madaktari maana hakika madai yao hayawezi kutimizwa kwa spidi hii.
 
MADAKTARI....mh.... Dr's tatizo pinda anaona jina madaktari ni kundi la watu kama (wafanyabiashara"wado mpaka wakubwa wasomi na wasio wasomi", wakulima,"kama wafanyabiashara" waalimu "wa nursery mpaka university" nk) nionavyo mm hili ni kundi la wasomi watupu tena wa hali ya juu kuwalaghai au kuchomeka mamluki ktkt yao ni ngumu so serikali iache utani na afya za watz.
 
Pinda alisema Mkulu akirudi atawashughulikia Waziri wa Afya na Naibu wake............alisema hivi, ''Nyie mnajua tu ni nini kitatokea, sihitaji kuwaambia''.........akimaanisha, waziri na naibu watasimamishwa kama alivyofanya kwa katibu wa wizara na daktari mkuu.

Sasa yako wapi?
 
Tuliwahi kuambiwa hum ndani siku moja kua huyu PM anatumika kama shock absorber (shock up) ya serikali hii ya awam ya 4 lakn pamoja na hayo sion anachokifanya zaid ya kuigiza utoto wa mkulima bila mafanikio. Tumeona wenyewe jinsi alivyolazimishwa kula matapish yake ktk sakata la madaktari.
Vilevile tuliona alivyopiga sanaa mgogoro wa wahadhiri udom.
Mifano ipo mingi ila kwa sasa nakomea hapa niwapishe wachangiaji wengine watujuze mengi zaid.
 
pinda namlaumu na namuombee mabaya yote yamkute kwani kasababisha kifo cha rafiki yangu, ALEXANDER MIBURO a.k.a. KAGAME. Rest in peace bro, Pinda will also die and i'll celebrate
 
Kubwa kuliko yote ni madaktari kuwa pamoja siku zote umoja ni nguvu utengano ni udhaifu,swala la madaktari Pinda na Kikwete litawapeleka musikotaka musipo liweka vizuri bahati mbaya sana TARENA,TAMA hawakusimama na MAT sijui wapo kweli hao TARENA au ndio rojorojo
 
M so sad............... I remember the day nimeenda pale MNH wing nzima yawatoto madaktari wawili tena intermittently.....something gotta be done
 
Nyepesi nyepesi nilizozipata kutoka kwenye vyanzo aminifu ni kwamba hali si shwari hata kidogo kati ya Tume aliyoiunda mheshimiwa Bw.Mizengo pinda ya kushughulikia mgogoro wa madaktari ambayo inatakiwa iwe imemaliza kazi kabla ya 3/3/2012

-Serikali imecheza siasa kujaribu kuwagombanisha/kuwachangaya pande mbili za madaktari i.e. kamati ya Ulimboka na kwa upande mwingine viongozi wa MAT na inaelekea kufanikiwa kwani kuna mgogoro unaofukuta chini kwa chini ili kuvunja umoja huu.
-Sasa ninavyoongea ni kwamba hata MAT wenyewe kwa wenyewe hawaelewani kwani kuna kiongozi mmoja wa ngazi ya juu amefikia hata hatua ya kutishia kuachia ngazi.
-Tume ya Ulimboka wameamua kujiweka pembeni kwa sasa, na wanasubiri tu ifike hiyo tarehe 3/3, kama bado hakieleweki waitishe tena mgomo.
-MAT wanaonekana wamekuwa'fixed kwani wamekuwa legelege sana kimsimamo

MY TAKE: Madaktari wako imara sana, huo mchezo mchafu hautafanikiwa kamwe, naona Serikali wanasahau haraka sana kile
kilichotokea wiki 2 zilizopita..Hili halipaswi kutokea tena mbele ya macho yetu wananchi..CHONDE CHONDE BWANA
PINDA KUWA MAKINI!!!!

Huwezi shindana na Serikali, kwani Serikali ni MONSTER. Hapo Serikali wameshamaliza kazi yao, si unajua chanzo cha mgomo huu, umejengwa na baadhi ya madaktari Bingwa Viongozi wa MAT ambao Mama Nyoni aliwataka waende Mikoani baada ya kumaliza mafunzo yao ya Ubingwa. Sasa Serikali inachofanya hapo ni kuwaita hao vinara wa mgomo na kuwapatia kazi Muhimbili (Mjini), ndo issue ya harakati za ukombozi wa Madaktari zitakuwa zimeishia hapo. Serikali wameshawahi kufanya hivi, na hii si mara ya kwanza, si mnakumbuka mgomo wa mwaka 2004, kiongozi wa MAT wakati ule aliitwa na kupewa UPROFESA na akasambaratisha harakati zote za mgomo hule ! fuatilia pale MOI ili kujua kuna Maprofesa wangapi.

Hii ni vita ya MAGWINI na MADAKTARI wa TANGANYIKA ilianzia mbali sana.
 
Madaktari Wakigoma tu, tuigeuze Mnazi mmoja au Jangwani kuwa Tahrir square (UDSM huita - Revolution square). Mpaka pinda ang'oke. Wazee wa sikub 100 mko wapi? Nchi inateketea? Au mlikuwa mnapima upepo?. Lianzisheni tuwaunge mkono.
 
Back
Top Bottom