ZEE BABA
Senior Member
- Jan 19, 2011
- 169
- 59
BBC imetangaza kuwa Raisi wa zamani wa Afrika Kusini Thabo Mbeki ataongoza tume ya kuchunguza utajiri wa Afrika hasa madini ambao umepotelea ughaibuni(Ulaya na Amerika) tume hiyo haina kiongozi mwingine kutoka bara la Afrika zaidi ya Mbeki.Tume hiyo itakuwa na jukumu la kuchunguza namna ambavyo watu mbalimbali wakiwemo viongozi na wafanya biashara wamefuja mabilioni yatokanayo na Madini katika bara la Afrika.