Tume ya katiba yaonja utamu wa pesa .sasa yataka kuongezewa muda ati 26apr14 autoshi

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Kama vile haya mambo yalijulikana kabla
tume ya katiba imedai ni ngumu kupata katiba kwa muda waliopangiwa ati imekuwa ngumu
kupata maoni ya kila wananchi kama inavyotakiwa na hivyo kuomba waongezewe muda
kama kweli hali ndio hii basi zile billion za katiba akuna haja ya kuwepo tusimamishe
tupeleke sehemu muhimu then katiba tusubiri 2020...

Hii nchi imekuwa kila sehemu mtu akipewa anafikiria kula kula tuuuuuuuuuuuuu
sijui wataacha linikwa haabri zaidi soma tanzania daima
 
tutaandamana nchi nzima kudai katiba kabla ya uchaguzi wa 2015 wasije wakadhani sisi wananchi atuna akili,
 
Kweli ninakiri kuwa sasa adabu imewekwa kando.
Kama tunawatuhumu kina mzee warioba na salim hakuna maneno yanayojitosheleza kwa hili.
Ninavyofahamu mimi suala hili kwa mtu yeyote mwenye akili timamu anafahamu kuwa ni gumu sana kutokana na ukubwa wa nchi yetu na pia wananchi weke kuwa zaidi ya milioni 50. Jee unawafikiaje japo nusu wa wananchi hao hasa vijijini??
Wananchi hawa hasa wa pembezoni miaka yote wamekuwa wakifuata yanayoamuliwa na watu wa mijini kama wewe lakini kwenye hili ni lazima iwe hivyo. Hata bajeti ya tume hii haijakaa vizuri kwani kiasi kilichotarajiwa kutumika na kile kilichoidhinishwa ni tofauti sana tu. Hawa wazee wanajibana sana tu hivyo basi ni utovu wa heshima kuwatuhumu kuwa eti wameona 'tamu' na sasa wanaomba kuongezewa. Inahitajika tubadilike . tufanye takakuri ya kina kabla ya kuachia vidole vyetu vifanye hivyo.
 
muda tulioahidiwa tunataka katiba mpya
hatutakubali tena kuingia katika uchaguzi bila tume huru ya uchaguzi
ni janja yao kutaka tena kutuibia kura nchi haitakalika sasa
 
Back
Top Bottom