C Cartoons Senior Member Jul 16, 2012 122 38 Jul 23, 2012 #1 kwa taarifa nilizopata kutoka kwa mkuu wa wilaya ya nyamagana,mwanza bw.baraka konisaga ni kwamba tume ya katiba itaingia mwanza mwezi wa 8 mwaka huu. Wana-mwanza jiandaeni.
kwa taarifa nilizopata kutoka kwa mkuu wa wilaya ya nyamagana,mwanza bw.baraka konisaga ni kwamba tume ya katiba itaingia mwanza mwezi wa 8 mwaka huu. Wana-mwanza jiandaeni.