Tume ya Jaji Warioba yaalikwa na wazee Mkoa wa Mara kutoa ufafanuzi wa Katiba

otorokoko

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
2,437
154
Wazee wa mkoa wa mara kwa muda mrefu wamekuwa wakiiomba tume ya jaji warioba kwenda kutoa ufafanuzi wa katiba,tume imesikia maombi yao na kwa pamoja wajumbe wa Tume wakiongozwa na Jaji Warioba, Humphrey Polepole na Joseph Butiku watatoa elimu kwa wananchi wa mkoa wa mara katika ukumbi wa MCC Musoma mjini tarehe 28 December kuanzia saa nane mchana.

Kwa hisani ya wazee wa mkoa wa mara wananchi wote mnaombwa kufika bila kukosa.

SEMA HAPANA KWA KATIBA YA CCM NA VIBARAKA WAKE
 
Warioba umezeeka mpaka akili. Tulia ucheze na wajukuu zako mambo ya siasa basi. Tulikupa kazi ya kukusanya maoni juu ya katiba lakini hujapewa kazi ya kuelezea maoni ya katiba. Ukipigwa mawe na kuzomewa utasemaje?
 
Ni bora mzee aliyezeeka lakini akawa muadilifu na ana maono ya uongozi wa kulisogeza mbele taifa kuliko vijana wasiokuwa na maono wala fikra za kumkwamua alipo
 
Warioba umezeeka mpaka akili. Tulia ucheze na wajukuu zako mambo ya siasa basi. Tulikupa kazi ya kukusanya maoni juu ya katiba lakini hujapewa kazi ya kuelezea maoni ya katiba. Ukipigwa mawe na kuzomewa utasemaje?

Natarajia na Wazee wa Dar na Dodoma( mikoa ya wazee wateuliwa) na Wazee wa Mikoa mingine wataomba ili waelewe nini Rasimu 2 ilipendekeza na nini Kimo ndani ya Inayopendekezwa. Watapambanua wenyewe waone ipi ni bora, na kwa tukio la Escrow, ipi ni bora kati ya RasimuII na Inayopendekezwa, kwamba ipi ingeweza kudeal na scandal kama hizo kwa umakini zaid kati ya ile ya Mzee Warioba na au ile ya Mzee wa Jersey!
 
Katiba bora ni msingi pekee wa kutengeneza uongozi bora na kuhakikisha kiongozi anamtumikia mwananchi na si mwananchi amtumikie kiongozi.
SEMA HAPANA KWA KATIBA YA CCM NA VIBARAKA WAKE
 
warioba umezeeka mpaka akili. Tulia ucheze na wajukuu zako mambo ya siasa basi. Tulikupa kazi ya kukusanya maoni juu ya katiba lakini hujapewa kazi ya kuelezea maoni ya katiba. Ukipigwa mawe na kuzomewa utasemaje?

mara huwa tunawapiga mawe na kuwazomea mafisadi wa escrow(ccm)
 
Mikoa yote lazima itapeleka mualiko kwa tume hii ,labda mkoa wa daresalama huwezi kujua !
 
Warioba umezeeka mpaka akili. Tulia ucheze na wajukuu zako mambo ya siasa basi. Tulikupa kazi ya kukusanya maoni juu ya katiba lakini hujapewa kazi ya kuelezea maoni ya katiba. Ukipigwa mawe na kuzomewa utasemaje?

Mkuu, umeusoma vizuri uzi lakini!? Hajajipeleka, kaalikwa yeye na vijana wake; ulitaka akatae!? asingekwenda wengine tungesema sio mzalendo wakati wewe ungefurahi.
 
Ngoja tume ya warioba iwatibu ccm vizuri ili watakapotolewa madarakani 2015 wasiwe na mtu wa kumlaumu
 
Back
Top Bottom