Tume ya Jaji Augustino Ramadhani yaamua naibu Jaji Mkuu avuliwe madaraka!!!

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
Naibu jaji mkuu wa Kenya apatikana na hatia

nancybaraza.jpg



6 Agosti, 2012 - Saa 11:18 GMT

Jopo maalum la majaji lililoteuliwa na rais Mwai Kibaki kuchunguza tuhuma zilizokuwa zinamkabili Naibu Jaji Mkuu wa Kenya Nancy Baraza kumdhalilisha mlinzi mmoja katika duka moja kubwa mjini Nairobi, imependekeza, jaji huyo kuondolewa madarakani.

Akisoma hukumu hiyo mjini Nairobi leo, mwenyekiti wa jopo hilo, Jaji mkuu mstaafu wa Tanzania, Augustino Ramadhan, amesema Nancy Baraza akiwa mtumishi wa chombo cha kusimamia sheria na haki hakutakiwa kwa namna yoyote kutenda kosa hilo dhidi ya mlalamikaji Bi Rebecca Kerubo.

Amesema kitendo alichofanya Nancy Baraza na ni cha utomvu mkubwa wa nidhamu na hivyo kupendekeza kwa Rais Mwai Kibaki kumwondoa katika wadhifa wake wa naibu jaji mkuu.

Nancy Baraza alituhumiwa kumnyanyasa na kumpiga Bi Kerubo tarehe 31 Desemba 2011, baada ya kutakiwa kufanyiwa ukaguzi kabla ya kuingia katika duka hilo, utaratibu ambao umekuwa ukitekelezwa kwa wateja wote

BBC Swahili - Habari - Naibu jaji mkuu wa Kenya apatikana na hatia
 
Katiba mpya ya Kenya Kiboko!!!


Tribunal calls for Deputy CJ Baraza's ouster for gross misconduct



PIX.jpg


By Nation Reporter
Posted Monday, August 6 2012 at 13:34

The tribunal investigating suspended Deputy Chief Justice Nancy Baraza over the Village Market gun drama has recommended her removal from office for "gross misconduct and misbehaviour."


The tribunal's chairman, former Tanzanian Chief Justice Augustino Ramadhani, said Ms Baraza's conduct during the New Year's eve incident showed an "inability to control her behaviour."

Ms Baraza was accused of assaulting a security guard, Ms Rebecca Kerubo, and waving a gun at her at the Village Market shopping mall in Nairobi.

"The tribunal members having unanimously found that the conduct of the DCJ on December 31 2011 at the Village Market amounted to both gross misconduct and misbehaviour we recommend to President Kibaki that Lady Justice Nancy Makhoha Baraza be removed from office," said the tribunal in its recommendation to the President.

"We were not impressed by the evidence by the DCJ," read the decision giving an example in which Ms Baraza argued that the guard had followed her to Belladona Pharmacy in the Market and used disrespectful language.

Ms Kerubo denied using harsh language and her denial was backed by a Dr James Wathigo, the pharmacist who said that the guard only told Ms Baraza that she needed to search her.

However, Ms Baraza is said to have responded by saying that Kerubo "should know people around here."

The tribunal was set up following a petition by the Judicial Service Commission (JSC) after Ms Kerubo lodged a complaint with the police alleging that Ms Baraza had threatened to shoot her when she sought to conduct a body search before allowing her into the Village Market where the Deputy CJ had gone shopping.


Personal security

Ms Baraza later apologised for the "unfortunate" incident saying she had no intention of "arrogance or ill will".

In a statement, she pointed to fears over her personal security and said that the confrontation with Ms Kerubo should be viewed in that light.

"In the last few months a number of security incidents have occurred in and outside my office. As such, threats of violence have been directed at me and I have had to request increased security measures for my office as well as my own personal security," she said.

"The unfortunate incident at the Village Market should be viewed in light of the genuine security apprehension on my part. I certainly had no intention of high-handedness, arrogance or ill will," the deputy CJ added.

However, Chief Justice Willy Mutunga summoned an emergency session of the JSC to discuss the incident.

In its meeting, the JSC recommended her suspension and called on President Kibaki to form a tribunal to investigate her conduct.

Tribunal calls for Deputy CJ Baraza's ouster for gross misconduct*- News*|nation.co.ke
 
Huku kwetu jaji mtu wa juu sana sijui kama anaweza hata kuambiwa kitu. Huku kwetu polisi kuruti tu anashiriki ujambazi na bado wakubwa wake wanamwamisha kituo.(Kulindana)
 
Retired CJ Ramadhani Augustine chaired a Mwai Kibaki judicial commission that has recommended suspended Deputy Chief Justice of Kenyan Supreme Court Nancy Baraza to be removed forthwith in her judicial capacity due to gross misconduct following the confirmation of charges against her. She has 10 days to appeal against the decision........
 
Naibu jaji mkuu wa Kenya apatikana na hatia

nancybaraza.jpg



6 Agosti, 2012 - Saa 11:18 GMT

Jopo maalum la majaji lililoteuliwa na rais Mwai Kibaki kuchunguza tuhuma zilizokuwa zinamkabili Naibu Jaji Mkuu wa Kenya Nancy Baraza kumdhalilisha mlinzi mmoja katika duka moja kubwa mjini Nairobi, imependekeza, jaji huyo kuondolewa madarakani.

Akisoma hukumu hiyo mjini Nairobi leo, mwenyekiti wa jopo hilo, Jaji mkuu mstaafu wa Tanzania, Augustino Ramadhan, amesema Nancy Baraza akiwa mtumishi wa chombo cha kusimamia sheria na haki hakutakiwa kwa namna yoyote kutenda kosa hilo dhidi ya mlalamikaji Bi Rebecca Kerubo.

Amesema kitendo alichofanya Nancy Baraza na ni cha utomvu mkubwa wa nidhamu na hivyo kupendekeza kwa Rais Mwai Kibaki kumwondoa katika wadhifa wake wa naibu jaji mkuu.

Nancy Baraza alituhumiwa kumnyanyasa na kumpiga Bi Kerubo tarehe 31 Desemba 2011, baada ya kutakiwa kufanyiwa ukaguzi kabla ya kuingia katika duka hilo, utaratibu ambao umekuwa ukitekelezwa kwa wateja wote

BBC Swahili - Habari - Naibu jaji mkuu wa Kenya apatikana na hatia


KATIBA MPYA YA KENYA INARUHUSU TRANSPARENCY - NA UCHUNGUZI HURU; SISI NA HII SERIKALI YA CCM

YA KUSAMEHEANA LEO NI FISADI KESHO RAIS anakusafisha na Majudge; Polisi; Takuhuru na Usalama wa Taifa

Wananyamaza... Sidhani chochote kitafanyika Mpaka labda Mataifa ya Nje yaanze kuitishia CCM; na sidhani

Angalia kuna URANIUM, IRON, GAS, inatosha kusahau wizi wa VIONGOZI wa nchi... Mfano Mzuri ni wakati wa MOBUTU
 
Bora ugenini lakini nyumbani Mh? Hukumu za ajabu ajabu (rejea mgombea binafsi -rejea pia kauli ya CCM kwamba sasa ni muda muafaka wa kuwa na mgobea binafsi)
Utendaji wa Majaji wetu ungepimwa kwa kuchukua majaji toka nje. Wateule wale wa ujaji wa shukrani na kishikaji ungeisha
 
sasa huyu AGUSTINE Ramadhan mbona ya TZ YANAMSHINDA?
Hata raisi wetu mstaafu, Che Nkapa alikwenda kusuluhisha mgogoro wa vurugu za baada ya uchaguzi wa 2007 Kenya, akiwa aneshindwa kutatua wa kwake (2011) wakati watu walipouliwa Zanzibar, na wengine kukimbilia huko huko Kenya. Alipaswa kuona haya.
 
Back
Top Bottom