Tume ya haki za binadamu

chelsea fc

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
864
211
hellow wana jamvi
Hivi hii tume kwanini isipewe meno au iwe taasisi iwe na uwezo wa kukamata mtu au kikundi cha watu wanaovunja haki za binadamu na kuwafungulia mashitaka kama ilivyo kwa TAKUKURU,NEMC,TRA na zinginezo
Mnasemaje wana jamvi?
 
Back
Top Bottom