Tume ya ATCL yaanza kutoa Cheche

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,906
22,038
Jamani walioko TANZANIA tuabarishane nasikia ""MOTO""umeanza kuawaka uko ATCLleo kuna watu wameteuliwa na wengine kupigwa chini,,mwenye habari zaidi amwage nyuki
 
Sijui hilo lakini nimesoma ndege zimeruka na watu nane, na nyingine watu wanne! mwanzo mgumu.
 
Hahahhah watu 8 na wa 4 si wange faulisha tuu kwani lazima ziende kwa hasara jamani??trust to the brand is over....
 
Wakuu,
Habari za kuaminika pia zinasema Mkurugenzi wa fedha ndugu ELIASAPH MATHEW nae kapigwa chini.

......to be continued Stay tuned
 
Wakuu,

Ni takriban siku ya nne sasa tangu kampuni ya ndege ya tanzania ATCL ilipoanza tena shughuli zake. Hali halisi inasikitisha kwani ndege zimekuwa zinaenda tupu au kubeba abiria wachache mno!!!. Kwa wastani ni kama abiria watano"5" kila flight kwani namba zenyewe zinacheza kati ya "0" mpaka "10". Utafiti uliofanyika unaonyesha kuwa abiria wengi hawana habari kuwa ATCL imeanza tena safari zake, hivyo hakuna budi juhudi za makusudi za kutangaza bishara hii zipewe kipaumbele. Fedha inayochezewa kurusha ndege tupu ilitosha kutangaza kwenye radio, Tv na magazeti.

Kwenu wadau
 
Kwenu wadau[/QU

Ajabu ni ile kutangaza jumamosi kuwa ndege jumatatu zitaanza kuruka,je watu walipewa nafasi ya kukata ticket mapema? hivi ni kweli kuwa ATCL hawana sales manager akawashauri? au ni majibu ya haraka kwa mkuu aliyependa kuona ndege zinaruka mara moja?
 
Kwa abiria kumi kurusha ndege ni uwendawazimu unless kama wanatumia maji.
Ukiuliza kisa Riaisi alisema turushe as soon as possible.
Make use of your upstairs not downstarirs jamani,tunaitia hasara nchi.
Ilibidi mpublicise kuanza rasmi then ndo muanze mwakulupuka tuu.............shiiiit
 
HUU KWELI NI UPUPU SASA UNAMUONDOA

""HUYO ELIASAFI""

UNAMUONDOA CFO UNAMPA

""AUDITOR""

MHH KAMA NI HIVYO POLENI WAFANYAKAZI WA ATCL... Fu*******
 
HUU KWELI NI UPUPU SASA UNAMUONDOA

""HUYO ELIASAFI""

UNAMUONDOA CFO UNAMPA

""AUDITOR""

MHH KAMA NI HIVYO POLENI WAFANYAKAZI WA ATCL... Fu*******
 
Tatizo advertising au tatizo watu hawana imani na usalama wa hizo ndege?
 
Back
Top Bottom