Tume ya ajira, janga lingine kwa vijana.

Muarubaini

JF-Expert Member
Apr 7, 2012
222
48
Tar 25-5 walitangaza nafasi mbalimbali, zikiwemo maafisa tawala, assistant lecturers usitawi na nyingine nyingi. Ila mpaka leo wanaitwa kwenye interview ni watendaji wa vijiji, kata na wapishi. Hizo zingine mmeshapa watoto wenu? Walalahoi tugawane utendaji wa vijiji na kata?
 
Vijana ni muda kuamka, tunataka justice kwenye employment. Hakuna wenye hati miliki na nchi hii
 
Wanajua wakisha kutupa huku kijijin kata afisa mtendaji nd6 wamekumaliza. Mtu mfano umesoma accounting unaenda kuwa mtendaji kijiji, hiyo ni career assasination. Heri hata ufungue mpesa
 
mkuu huu ni ukweli mtupu. hizi zingine mbona hawatoi. hili nalo janga kwa watoto wa wakulima.
 
Mwanzo walibana kwenye elimu, wazazi wetu wakajinyima wakalala na njaa ili tusome. Tumesoma, sasa nafasi wanaridhishana tu wao kwa wao. Cc wanatuambia tujiajiri! Mbona wao hawajiajiri kama nirahisi kama wananyosema?
 
yani ni busara tu ila mtu unaweza hata ukatukana mitusi mikubwamikubwa koz ni ujinga usio kuwa na definition watu wana apply mpaka wanakata tamaa,hakuna taarifa yyte.hapo wanatafuta madem zao bibi zao wajukuu wajomba ndio wawape kazi.yani huu ni use....aaa
 
punguzeni hasira vijana ,kama vp ijumaa majobless wote tunaandamana kumpa support sheikh ponda!
tunaua ndege wawili kwa jiwe moja wakuuu!
 
mkuu huu ni ukweli mtupu. hizi zingine mbona hawatoi. hili nalo janga kwa watoto wa wakulima.
acha hizo mkuu mimi mbona nimeshaitwa kwenye interview nying tu za utumishi! kuanzia april mpaka leo kama 5 hivi
au wewe uliomba ukurugenzi mkuu!
 
Wanajua wakisha kutupa huku kijijin kata afisa mtendaji nd6 wamekumaliza. Mtu mfano umesoma accounting unaenda kuwa mtendaji kijiji, hiyo ni career assasination. Heri hata ufungue mpesa
wewe ndugu yangu! sasa nimeanza kuelewa kwanini au pati kazi
sasa ward excutive officer kwa accountant hakuna kitu kama hicho!labda ndo maana hawakuiti kwenye usahili
irrelevant qualification inakuharibia mkuu
 
mkuu umenielewa vibaya, cjasoma accountant, na kwa mimi hizo nafasi za sijui mtendaji kata, wala kijiji sijawahi kuomba, zile nilizoomba ndo hawajaita had leo.
 
acha hizo mkuu mimi mbona nimeshaitwa kwenye interview nying tu za utumishi! kuanzia april mpaka leo kama 5 hivi
au wewe uliomba ukurugenzi mkuu!

is that a compliment? Interview tano hajapata kazi! Unasindikiza wenzako tu. Better you review ur stratage on interview
 
is that a compliment? Interview tano hajapata kazi! Unasindikiza wenzako tu. Better you review ur on interview
i look for senior posts,organization reputation and salary have a lot of interview tips and experienced interviewee in public sector
wewe bado dogo sana!nahisi ume graduate last year!
haya bwana ngoja tukuone wewe! mwenye strategies an tips za interview ,if ure compentant enough to compete!
alafu fanya mambo mengine acha kusubiri kitaa!
 
Wafanye mambo yapi? Kwa mtaji upi? Katika shamba lipi? Wawezesheni vijana muone.hivi mnafikiri wao wanapenda kukaa tu bila kazi? Jamani tusiongee tu bila kutafakari.Mtu anasema nenda kijijini ukalime, kwenye shamba la nani! Basi tupeane mawazo chanya yanayojenga na si kumjibu mtu kana kwamba unasukumia mzigo upande mwingine.
 
sorry kama nimekukwaza!
mimi nafikiri suluhisho pekee nikutumia elimu yako!kujikomboa
kwa kutafuta fursa zilizopo
 
We huna akili kama sheikh ponda na wenzake kwa sababu badala ya kutumia sheria za nnji hii mnataka kutuletea upuuzi wa kuiga weee mtakoma na virungu vya polisi maana msifikiri ni yale ya sensa; ,paka aseme ni nani anampa vijihela kuja kutesa vijana wapigwe na polisi kwa manufaa yake mwenyewe.

Mbona hao wenzenu wakristo waliobomolewa nyumba zaoza ibada hawajalipiza kwenye msikiti hata mmoja!! Mjue hao kina ponda ni wapumbavu na wenzao ni werevu maana ukishindana na mpumbavu nawe unaonekana mpumbavu. Wao hao wamechanga mahela yao wanaendelea kuhubiri neno la Mungu huku nyie mnapigwa virungu na kunya kwenye ndoo. Acheni upuuzi jama mtakufa bure na mabomu ya kulia.
 
irrelevant!!
 
vuteni subira jamani,very soon watu wataitwa kwenye hizo nafasi nyingine.wanaita kidogo kidogo kwasababu application ni nyingi sana,na kazi inahitaji umakini ili asionewe mtu wala asipendelewe mtu,wana hakiki sana.

source:mtu wa ndani.
 
Unfortunately nadhani mleta mada hajui kazi ya tumeajira na jinsi gani wanaingiliana kazi na idara nyingine za serikali

Kama kweli unafuatilia Kazi na products zao, i think they have done alot na kazi zinazokua za kindugu zaidi ni zile zisizopitia kwao ( za parastatals nk) mfano BOT, NSSF, PPF, BIMA,
 
Back
Top Bottom