Tume huru ya uchaguzi.

Mroojr

Member
Nov 15, 2010
65
8
Miongoni mwa vitu vinavyolalamikiwa sana ktk kila chaguzi kuu hapa nchini ni TUME YA UCHAGUZI.Malalamiko haya hupelekea mpaka watu kudiriki kusema wameibiwa kura wakati wana mawakala wao humo humo.Binafsi mimi naona ipo haja ya kuiangalia upya sheria ya uundaji wa chombo hiki ktk wakati huu wa mchakato wa katiba mpya ili angalau kupunguza malalamiko hayo juu ya tume hiyo.Jambo ambalo limeanza kutupeleka peleka kwenye udini kitu ambacho ni hatari sana.
 
Back
Top Bottom