Tume imeundwa kumshawishi Gadafi aachie ngazi kwani amekaa madarakani muda mrefu! Enjoy.....
Hawa watapokewa kwa mbwembwe sana na Gaddafi wakifika Tripoli.
Tume imeundwa kumshawishi Gadafi aachie ngazi kwani amekaa madarakani muda mrefu! Enjoy.....
Nilisema na nitaendelea kusema walibya walifata tu mkumbo.Hawamuwezi Gadafi that is true story