Tumchangieni Mh Lema

Too Early to talk about this!...u never know, huenda aka'file rufaa je?
Imetangazwa kuwa wakuu wote wa chama wanakaa kama chama, then tamko/maamuzi ya pamoja yatatolewa jioni ya leo
 
yaap mahakama haijamzuia kugombea kwa mara nyingine tena.

ana haki ya kugombea tena kwa sababu mahakama imetengua ubunge wake kwa sababu ya kutumia lugha chafu wakati wakampeni na wala si kwa wizi wala ruswa

haki itasimaa daima... kamwe mtu hawezi kukimbia kivuli chake. viVa CDM
 
lete Data zote na kiasi gani kinatakiwa
kichangwe. halafu andika thread yenye maelezo
zaidi na si mstari mmoja tu .. Nimeshuhuhudia na nimekusanya
michango kutoka kwa wana JF kumsaidi mtu ambae hata hakuwa
member hapa. Na ni wengi sana walijitokeza na kumsaidia ...

Ila watu watahitaji maelezo zaidi ya mstari mmoja..
Asante.. Easter njema.
 
najua jimbo tunalichukua tena! nimehumia sana! lakin ndugu yangu lema ushindi pale pale
 
Hizi ghalama za kesi zikoje?

Ukishindwa kesi kama hukuianzisha pia unalipa?
 
Nna hasira sana ha hawa CCM, Chama kushika hatamu ni historia tupo kwenye haki sawa. CCM WEZI WA MALI YA UMMA
 
Lema atasimama tema, kinachonisikitisha ni kwamba CCM wanazidi kujichimbia kaburi maana pale hawawezi kupita isipokuwa wanajiletea matatizo mengi sana
 
Back
Top Bottom