Tumbo kuuma nkila chakula chenye viungo!

ldd

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
790
128
ndg wa-jf polen kwa miangaiko yakila cku! naombeni msaada maana najua humu wote ni interllectuals, mm nkila chakula chenye viungo km pilau,wali au ugali roast huwa tumbo linauma sana!! kipndi fulan mara yakwanza ilinibidi nipime ultra sound, bt nlivyo mueleza dr akanipa anti biotic inaitwa levos, ikatulia km miez 3! pilao tamu jaman, nkajisahau nkala tena tumbo likaanza tena, but ths tym naombeni mwenye kujua dawa yakutibu kabisa, thx!
 
Back
Top Bottom