Belight Technology
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 582
- 122
Kwa wale mnaopenda watoto wa geti kali, wake za watu ama waume za watu, ama kutoa ujumbe wowote ambao hutaki kuwa shahidi katika sms ulotuma. Just go to messaging(click) and go to flash sms, write your sms there as usual and send to the destination. Meseji itaenda na itajifuta baada ya muda mfupi.
Enjoy with it wana jf!
NB: Nokia nyingi zina hii option hivyo msiniulize maswali mnaotumia mchina.
kuweni makini coz anaepokea akikosea anaweza akaicancel na hivyo kutokupata ujumbe, pia hazina siri coz ikiingia tu inajiView moja kwa moja. So hata kama kashka mtu mwingne ataiona.