Tuma salamu, ujumbe chagua muziki.

@Zomba hizi kamba mbona zinazidi siku hizi.. darsa gani lile wakati wewe abiria tu ktk meli..Mnadanganywa sana na hivi vitabu vya kusona ingia majini baharia wa nchi kavu utajua kinachoendelea..

Nadhani hujui kuwa nilikuwa baharia kwa miaka 5 (wa kimataifa). Sikisii, nikiongelea mambo ya meli.
 
Asante sana ngudu mtoa mada. Kwa kabisa natuma salamu a babu yangu mpendwa Asprin na wake zake wote, Swahiba yangu kaiser, rafiki zangu erick52 JAGment, Rocky, Bishanga, dada yangu Catherine, bila kumsahau mamito gfsonwin, na mchumba wangu Yummy! Mwisho ni kwa wana JF popote pale walipo. Wimbo; Mwanameka uliopigwa na Dar International chini ya uongozi wa Marijani Rajabu.
KARIA miye nataka ule wimbo wa hidaya ulioimbwa na pepe kalle. unanikumbusha enzi hizo friends corner..............ama umesahau? sijakuona siku nyingi sijui mwenzio lpd umempeleka wapi.
 
Last edited by a moderator:
Natuma salamu kwa mama yangu mpenzi gfsonwin popote pale alipo. Ujumbe kwake Nampenda mpaka naumwa! Dedication ~Marashi ya pemba
 
Natuma salamu kwa mamdogo cacico, dedication ~ African queen! Pia namkumbuke mzee mzima, mutu ya kazi, kipenzi ya gfsonwin, anayezimikiwa na vimwana wa jf, baba nzazi Kaizer! Dedication ~Ukizaliwa Mwanaume! Mateso kuhangaikaa!
 
Ewaaa hapa sasa nina kidume.... Wanaume tumeumbwa mateso!
 
Last edited by a moderator:
Natuma salamu kwa mama yangu mpenzi gfsonwin popote pale alipo. Ujumbe kwake Nampenda mpaka naumwa! Dedication ~Marashi ya pemba

mwanangu mpenzi Ronn M nakupenda sana. pokea salam zangu za upendo zikisindikizwa na wimbo ......................hongera mwanangu eee hongera nami ni hongereee eee hongeraaaa..........
 
Last edited by a moderator:
KARIA miye nataka ule wimbo wa hidaya ulioimbwa na pepe kalle. unanikumbusha enzi hizo friends corner..............ama umesahau? sijakuona siku nyingi sijui mwenzio lpd umempeleka wapi.

nimpeleke wapi! Yupo kajaa tele kama pishi la mchele.
 
Last edited by a moderator:
Mi natuma salamu kwa marehemu Regia Mtema na Chetuntu RIP my queens. JF is not the same without you girls. MMU inazimisi busara zenu. Wake zangu Yummy, cacico na BADILI TABIA chini ya uangalizi wa Kongosho semeni Amina. Roulette popote ulipo anzisha dua maalum kuwaombea ukishirikiana na watumishi wa Mungu Kaizer, KARIA, ram, Prishaz na afrodenzi.... Wimbo: Mbinguni kuna makao mazuri sana. Ujumbe: Kesheni mkiomba maana hamuijui siku wala saa. AMEN.
 
hommie Asprin unaumwa?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom