Tuma salamu, ujumbe chagua muziki.

natuma salamu kwa ulieandika post hii,

natuma salam na kwa wewe unayesoma comment hii,

ujumbe - aliye juu mpige kwa manati
 
asante sana ndugu mtangazaji kwa jina naitwa beibe nasty a.k.a mamaa judgement, napenda kuwasalimu mume wangu kipenzi jg kwa sasa yupo kazin nampenda sana,pili kwa my kaka mentor na wifi catthy, kwa aunt niece eversmilin gal,babu aspirin, dada angu madame though yeye kagoma nitaja,pia bila kusahau zubedayo na arabella,jaman paka mweusi tii na rutashobolwa alllah kumbe wakt ndo huu zikufikie uuwiii wapenzi nawapenda woote kutaja sitomaliza leo hapa

Ujumbe wangu ni kula ni kula ubaya ni kukomba mboga
Dedication jogoo la shamba asante.
 
unanizingua ww....nilipokwambia kwa pm nataka kuonana na ww ulidhani nn.......

nataka kukupa mafweza.....shauri zako, bahati haiji mara 2

Unaona sasa? Hizo pesa za kupeana kisirisiri nani anataka? Wa siri wangu Kaizer mjeshi kaniwekea walinzi na wachunguzi kibao wakimwambia je?
 
Last edited by a moderator:
asante sana ndugu mtangazaji kwa jina naitwa beibe nasty a.k.a mamaa judgement, napenda kuwasalimu mume wangu kipenzi jg kwa sasa yupo kazin nampenda sana,pili kwa my kaka mentor na wifi catthy, kwa aunt niece eversmilin gal,babu aspirin, dada angu madame though yeye kagoma nitaja,pia bila kusahau zubedayo na arabella,jaman paka mweusi tii na rutashobolwa alllah kumbe wakt ndo huu zikufikie uuwiii wapenzi nawapenda woote kutaja sitomaliza leo hapa

Ujumbe wangu ni kula ni kula ubaya ni kukomba mboga
Dedication jogoo la shamba asante.

Jamani Mdogo wangu beibe nasty nisamehe,leo nimeamka na stress si unajua shemejio jana hakulala nyumbani!!!
Nakukumbuka tu,uko kumoyo.
Ujumbe: (3L) Live Long Life.
Dedication: Mwana DSM-Twanga Pepeta.
 
Last edited by a moderator:
Huu uzi utanisaidia kwenye ile research yangu. I am taking note of aina ya nyimbo watu wanazochagua, halafu nafananisha na kitu fulani hivi
 
Kaizer bora hao wakuu wa nchi wakutane mapema na kupatana tena iwe kabla ya sikukuu ya Eid ili uwahi kurudi tusherekee pamoja. Mwenzio sijapata gauni la sikukuu ujue. Mke wa Erickb52 ameshaanza mashauzi kisa kaletewa gauni na skuna za sikukuu. Nilienda kwa rafiki zangu Azimio Jipya na Rashid wa Arusha walao wanikopeshe pesa za sikukuu wameninyima eti hawajui kama wewe utarudi salama toka mpakani. Kuomba pesa kwa Boflo mie naogopa huwa anadai vibaya yaani hana simile. Kongosho nae ananinyanyasa na vimaneno vyake eti anasema wewe sio jemadari wala nini. bora tu urudi mjini.

mwaJ nitaridi mama....... Wala wasikutishe Boflo hana
kitu ni kama
Bishanga tu. Azimio Jipya
Namheshimu sana ikiwa vipi anaeza kukukopesha hap wengone hapana. Hii sikukuu utapata zaidi ya skuna na kigauni msiri wangu wala usikonde
 
Last edited by a moderator:
...Natuma salamu kwa mai bebii Preta akiwa kule yaeda chini...ujumbe..mie ni wako...ukisindikizwa na masogange wa bele 9
 
Last edited by a moderator:
thanks ma swtlo, ila leo yaani kila nikikaa nafsi inahamalika manake nakumbukia lile busu lako la alfajiri ya leo.

miye napenda kutuma salaam za dhati kabisa kwa Asprin popo pale alipo mida hii akiwa na msiri wangu wa ukweli cacico na wake wenzie BADILI TABIA na Yummy. napenda kutuma salam kwa Kongosho, King'asti, Erotica cartura, mito wakiwa huko walipo mida hii.

kuna watu hwa wa muhimu sana kwangu wadogo zangu Eiyer, Mbimbinho platozoom charminglady na Excellent,nawapenda sana
jamani siwez kumsahau mwanagu kifungua mimba, yai langu la kwanza lililochavuchwa na mbegu yako ya kwanza Ronn M.

ujumbe wanaume hasifiwi sura anasifiwa kazi, na tena mwanaume hasifiwi uhandsome anasiwa kwenda bank kudroo na kudeposit.

salam hzi zisindikizwe nawimbo .............kaburi ni mwanzo wa kuingia mbinguni.

Duh! sista gfsonwin ujumbe wako mzito kweli kweli, ila mtatuua jamani, loh!
 
Aiseee baba yangu natuma salamu kwa jei kei na mke wake panzi mama rizi wakiwa angani wakielekea usa kumpogeza obama kwa kufikisha miaka 58

ujumbe; mwambie obama atusaidie net

wimbo; tamaa mbaya by 20%
 
napenda kutuma salamu kwa the sugar in the tea wangu Bishanga ujumbe babu jinga inama ufikiri mali yako inaliwa wimbo abashaija wa saida kalori na kwa wana chit chat wote ujumbe ukubwa wa Boflo kiboko yake kikombe cha chai na ka ladies wote wa jf ujumbe wao kitu mafiga matatu wasindikizwe na wimbo wa strength of the woman bila kumsahau kijana Erickb52 ujumbe jitume kufanya kazi mafao mbinguni wimbo yes im on my way
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom