Tulipogoma kupiga kura tulimkomoa nani? Au tulikuwa busy sana?

The Hunter

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
1,049
305
Ndugu zangu wanajamvi, leo kwa macho na masikio yetu tunayaona yakutokea yanavyotokea, viongozi wasio na uzalendo na hari ya kweli ya kuleta maendeleo wamejaa kila idara,Haya yote yanatokea ktk kipindi kifupi kilichopita ambacho sisi watanganyika tulikuwa na ihari ya kuamua hatima yetu,
Lakini cha ajabu na labda ajabu kuu, wengi ya watanzania hawa ambao leo wanalalama kwa kila neno na kwa kila sauti walikuwa na hiari hiyo ya kuamua hatma yao kupitia kura zao.
sasa chakujiuliza siku ya kupiga kura ambapo wengi hawakutaka kupiga nikwamba hawakujali, kibri, waliridhika,walikuwa busy sana, au kwakuwa hakukuwa na helkopta siku hiyo?
Leo wanapolalama ni sahihi? maana watu hawa hawa ndo waliomaliza kipindi kilichopita kwa kuboronga, huku wakiandaa takwimu za kupika kuhusu mafanikio hasi.
au kwakuwa chama kiliwalea wakaogopa kukisaliti?

Kweli watanganyika ni creature wa ajabu, ktk Afrika Mashariki!
 
Watanzania walipiga kura. NEC ikazichakachua. It is that simple. Haiingii akilini kuwa miaka yote wapiga kura wa Tanzania ni above 60% iweje mwaka huu eti 42%? Hiyo ni siri ya NEC na uwezeshaji wake wa kumrudisha Kikwete mamlakani. Siamini kabisa kuwa Watanzania hawakupiga kura.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom