tuliosoma St. Kayumba tujikumbushie enzi zetu

karudi baba mmoja toka safari yambali
kavimba yote mapaja na kutetemeka mwili
watoto wake wakaja ili kumtaka hali...
......malizieni basi
 
Sadiki na Sikiri

Sikiri mi maskini
Uvivu wangu jumbani,
Nakufa hapa njiani

Sadiki sasa ashiba
Chakula kingi kwa baba,
Nakufa hapa kwa nini?

Alishushwa na basi njiani sababu alikuwa hana nauli - alitoroka kilimo na shughuli za shamba na ufugaji nyumbani kwao.
 
Mnakumbuka kitabu cha shamba la bwana elly na kitabu cha baharia pius, kingine cha bibi tarabusi
aaahaaa. kingine mkenge mkengeni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom