Hata bila kusema hivo mimi nilihisi kitu kama hicho ulichokisema hapo juu, kitu kingine ni hiyo avata yako yani kama tule tuzee twa mafinga sasa hakana koti alafu ni mwezi wa sita, Heshima kwako kaka, Makasi bwana!
Huyu ameturahisishia sana, Rev. kama sio wa familia ya wissiko a.k.a askofu, basi ana urafiki nao. Amekulia mkalifya huyu.
aisee hizi picha wee acha tu, mnapakumbuka sinagogi nyie? si mlikuwa mnatuponda mawe wakati tunasali. huyu aliyeleta hii siredi barikiwa sana. mie nilikuwa pale tangu 1991-1997 yaani one to six nilipiga PCM nawakumbuka sana walimu wangu wale wazungu wakemia na yule mdada wa hesabu, halafu usipime fizikia alikuwepo ticha mmoja noma anapanda mpaka mezani ila nasikia alihamishiwa baraza la mitihani.
Aisee mmenikumbusha mbali sana,enzi za dudu aka mpogole,alipotimuliwa alikuja headmaster msukuma aitwaye Mbanga.
Second master Mwavika sijui yuko wapi siku hizi?
Enzi za half mile na quota mile.Duh enzi zile
tupo mkuu april 07 hadi februdry 09 nilikuwepo hapo.Inanikumbusha mbali sana, wadau mliopitia hapo mpooooo! View attachment 31724
Vitu vya Wagalitia huwa ni Makini sana.
Yaani serikali isingetaifisha Shule hizi wangekuwa mbali zaidi.
Mnaweza kuweka na Madrasa zilizotaifishwa tuzijue?
Dah, mmenikumbusha mbali saaaaaaaana sana. Enzi za Tosa. Na marehemy mzee DUDU!
Characters zinazonikosha na nazikumbuka mpaka leo ni pamoja na:
1. Paschal Joseph Mugasa- Classs Monitor CBG 1990-1992. Jamaa alikuwa mnoko usipime. Naambiwa siku hizi amekuwa, ameacha
2. Muhidin Amour; duh usiseme!
3. Angolwisye Malaiso, bonge la football striker, sijui iko wapi hii kijana
4. Lugano aka MC na panki lake ilikuwa raha sana.
5. Makinya: jamaa nilikuwa namhusudu sana intellectually. Sijui kama si padre huyu?
6.Mwalwambile: aisee kweli Mungu anaumba viumbe wake, sina la kuongeza!
7. Mwalimu anaitwa Maulaga; huyu akanifanya niogope kuwa mwalimu. Ngoma full time iko drunk- ulanzi, komoni, ugimbi ++++
8. Maradona: kwa kweli mpira wa miguu bongo ni kwa wasiosoma. jamaa angeendeleza fani angekuwa ni sawa na Asamor Gyan
Natamani kurudi pale, angalau kutembelea tu. Sijui pako vipi now? Jamaa aliniambia pikipiki na daladala zinapanga foleni kusubiri watorokaji wakati sisi tulikuwa tunakula 5 km na ikibidi 19 km to town fresh kabisa.
Mr.Mwavika a.k.a Contra mtaalamu wa Economics alitufundisha maujanja mengi sana ikiwemo usemi wake kila akija ''don't break your brain, sometimes you can pass the examination by just copying down the title direct from the question paper which is easily obtainining marks without any need of using scientific calculator''
da mbali sana mmenikumbushaAisee mmenikumbusha mbali sana,enzi za dudu aka mpogole,alipotimuliwa alikuja headmaster msukuma aitwaye Mbanga.
Second master Mwavika sijui yuko wapi siku hizi?
Enzi za half mile na quota mile.Duh enzi zile