Uhakiki wa vyeti: Wengi watangaza kupotelewa vyeti vya elimu

Philipo D. Ruzige

JF-Expert Member
Sep 25, 2015
9,389
26,836
Naona utangazaji wa vyeti vilivopotea umeshika kasi sana.. Watu wamekalia ajira zetu , wadau tuna migamba genuine huku alaf wao wanaleta upuuz , ondoa wote hao
1469117128747.jpg

20160722_114951-jpg.369222
 
Mkuu mbona povu wakati kilichozungumzwa na mtoa mada kinadhihilika kupitia redio ngamizi na magazeti kama alivyoambatanisha.nini maoni yako ikiwa ni nawazo mbadala ya aliyoyasema mtoa uzi

Ana uhakika gani kama hao watu wametumia vyeti fake?

Mkikamatwa mkapelekwa mahakamani mnalalamika demokrasia inaminywa.
 
Mkuu mbona povu wakati kilichozungumzwa na mtoa mada kinadhihilika kupitia redio ngamizi na magazeti kama alivyoambatanisha.nini maoni yako ikiwa ni nawazo mbadala ya aliyoyasema mtoa uzi
Msamehe mkuu inaonekana na yeye kapoteza ana mpango wa kutangaza kupotelewa kwa vyeti
 
Mbona hyo ni rais sana, kama umedanganya wakiifuata hyo no kule baraza wanaikuta.... Hoja hapo si kupoTea, hoja je unacho?

Hawa wana stress zao wanataka kuzimalizia hapa.

Hakuna namna unaweza kudanganya au kuleta ujanja wowote kwenye cheti cha elimu ya kidato cha nne wahusika wakiamua kukufuatilia.
 
Hamuna kitu hapo hiyo ni janja ya nyani tu, hao jamaa bwana kwa ninavyo amini ni wale waliokuwa wamegawa vyeti vyao kwa watu wengine,yaani walimpa mtu cheti ili apate kazi kwenye sekita nyingine wakati huo na wao wanafanya sekita nyingine.Kwa hiyo hayo matangazo ni mbinu za kujinasua endapo cheti kimoja kikigongana na mtu mwingine ili kikinuka waseme kwamba tulipotelewa na taarifa ipo polisi na tulisha toa hadi tangazo.Ni hayo tu.
 
Kwani tangu zamani watu hawapotezagi vyeti jamani? so ukipoteza ww hewa?si unatangaza ili upate statement
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom