Tuliooa

Good sasa wewe nitafute tu i'm available anytime utaniambia shida yako hasa ni eneo lipi la ndoa then we can take it from there au kama ndio unaingia we will discuss what you should expect...i guess we're good

Your free time please?maana kansela lazma awe na muda maalum shaka sina tena nina proof kutoka kwa SL
 
Lol, ukishindwa kuyaamini maneno yangu shauri zako. Narudia tena kwa msisitizo ukitaka ndoa yako idumu kama chama cha mapinduzi mwone TF au mimi kwa maelezo zaidi.

Kuna siku niliomba ushauri kwa TF ilikuwa balaa
Utafikiri ni wa kalumanzila
yaani ilikuwa ni full comedy nikaona hapa nimeingia chimbo haswa
 
Kuna siku niliomba ushauri kwa TF ilikuwa balaa
Utafikiri ni wa kalumanzila
yaani ilikuwa ni full comedy nikaona hapa nimeingia chimbo haswa
Hahaha! Ulikosea kuomba ushauri siku ya jumamosi, TF anatoa ushauri jumatatu mpaka ijumaa saa 6 mchana....sasa wewe uliona wapi mtu akatoa ushauri akiwa kaunta juu ya stuli ndefu?
 
Hahaha! Ulikosea kuomba ushauri siku ya jumamosi, TF anatoa ushauri jumatatu mpaka ijumaa saa 6 mchana....sasa wewe uliona wapi mtu akatoa ushauri akiwa kaunta juu ya stuli ndefu?

Mhhh huo ulikuwa jumatatu saa tatu
sasa sijui aliamka nazo za jana yake
 
Your free time please?maana kansela lazma awe na muda maalum shaka sina tena nina proof kutoka kwa SL
Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 11 jioni in case of emergency i will think of it.....
hahaha we unamuingilia kansela?
Umeona eheee soko limechanua hawa wamachinga wanakuja kuweka bidhaa mbele ya duka langu

Kuna siku niliomba ushauri kwa TF ilikuwa balaa
Utafikiri ni wa kalumanzila
yaani ilikuwa ni full comedy nikaona hapa nimeingia chimbo haswa
Yaani unaniomba ushauri siku ya Jumamosi saa nane za usiku umeishaona wapi:lol:

Hahaha! Ulikosea kuomba ushauri siku ya jumamosi, TF anatoa ushauri jumatatu mpaka ijumaa saa 6 mchana....sasa wewe uliona wapi mtu akatoa ushauri akiwa kaunta juu ya stuli ndefu?
Haswaa nimeongeza masaa sasa hivi natoa ushauri hadi saa 11 jioni
 
TF wewe sema ushauri wako unaoutoa ni wa kuvijna ndoa tuu
Yaani unataka ndoa zivunjike na wewe utake place pale soon
 
Prishaz usisikilize majungu ya watu hawakaiii kusema hata ushauri ninaowapa hauwasaidii

Prishaz kwa taarifa hapa unafuata nyuki uote manundu na wala sio ule asali
Kwa TF umekikwaa kisiki na hutapata lolote
Sana sana ukipata ushauri wake jua na ndoa yako ndo imepotea
 
TF wewe sema ushauri wako unaoutoa ni wa kuvijna ndoa tuu
Yaani unataka ndoa zivunjike na wewe utake place pale soon

rocky hivi kuna watu wanatoa ushauri kwa ajiri ya kuharibu au kuvunja???
 
rocky hivi kuna watu wanatoa ushauri kwa ajiri ya kuharibu au kuvunja???

Ndo maana nasema ushauri wake changanya na akili zako za kuzaliwa
Ushauri unaoelekea kukuambia we achana na ulie nae hakufai mchukue fulani huo sio ushauri
 
Ndo maana nasema ushauri wake changanya na akili zako za kuzaliwa
Ushauri unaoelekea kukuambia we achana na ulie nae hakufai mchukue fulani huo sio ushauri

lakini yawezekana ukashauriwa kulingana na ulivyopeleka tatizo na uzito wa tatizo ulivyowakilisha
 
lakini yawezekana ukashauriwa kulingana na ulivyopeleka tatizo na uzito wa tatizo ulivyowakilisha[/QUOTE

Asante mkuu
Ila katika masuala yote ya kiushauri jiulize mwenyewe kwanza unataka nini na nini matarajio yako kabla ya kuomba ushauri kwa mtu
Upime kwa ufasaha ushauri utakaopewa na uwe na majibu yako na wazo lako mwewe kama wewe na then ufikiri na kuchambua kila utakaloambiwa
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom