Tuliochaguliwa Bachelor of law SAUT, this is the best university in Tanzania. Read this....

Saut hakuna hata prof mja wa sheria Dr ndo cjui,darasa moja lina wanafunzi mia saba,watu wa law semister moja wanasoma unit kumi My mama cjui wanazielewaje?
 
what we need is a good lawyer!
Hata kama ni best university in the world
still wa2 hatuangalii umesoma wap bali unasema nini kinachowaingia wa2 akilini!
 
St.agustine wanachukua hadi 3 za mwisho law akati ud mwisho 1
Unamaanisha nini unaposema 3 za mwisho na thibitisha kwa ushahidi kuwa UD wanachukua div 1 tu. Kwanini waliweka minimum admission points 5 from three subjects kwa masomo ya arts sheria ikiwemo na rafiki yangu 3.13 kachaguliwa hapo Udsm?
 
cku iz TCU wanachakachua,nakumbua yr 2008 walichukua dv1-3 mpaka dv1-5! Nwdays..sandakalawe umo umo
 
Saut hakuna hata prof mja wa sheria Dr ndo cjui,darasa moja lina wanafunzi mia saba,watu wa law semister moja wanasoma unit kumi My mama cjui wanazielewaje?

ha ha ha,hatari,yan 1st yr paa,wanakarbshwa na JURISPRUDENCE na CIVIL PROCEDURE..mweeh!
 
bongo kila mtu anasifia chuo chake jamanii enheee wale seba kulola erckenford stefano moshi na kile cha kule kagera sijui kinaitwaje mboni wao kimya..

:coffee: :msela:
 
wanaotambua vyuo bor na vile ambavyo sio bora ni TCU na kama kuna chuo chochote kinatambulika na TCU basi ni bora . sio tuanze kudharau baadhi ya vyuo hii haifai wana jf
 
Saut hakuna hata prof mja wa sheria Dr ndo cjui,darasa moja lina wanafunzi mia saba,watu wa law semister moja wanasoma unit kumi My mama cjui wanazielewaje?

et hamna maprof..... sasa kuwa na prof kama KAPUYAnga hapo chuon kwenu ndio ubwate anko. Unashanga unit kumi?? acha uvivu kama huwez kukomaa usidhan wote wavivu wavivu
 
Me npo ardhi ila kw law sauti ninawaunga mkono...achilia mbali wingi wa wanafunzi n mamb mengn kama kuchukua three ambyo hata sua wamechua three ya pcb mpka 16 ...ila law wanajua bhana hata philosophy ni wazma ila kw ud ni chamtoto
 
tabia ya kutojiamini sehemu uliyopo kwa hiyo ukaona ujipe moyo kihivyo. jikubali
 
Me npo ardhi ila kw law sauti ninawaunga mkono...achilia mbali wingi wa wanafunzi n mamb mengn kama kuchukua three ambyo hata sua wamechua three ya pcb mpka 16 ...ila law wanajua bhana hata philosophy ni wazma ila kw ud ni chamtoto

kwa hyo na wewe uko chuo kikuu mheshimiwa?asa mbona hata kuandika hujui?
 
Saut hakuna hata prof mja wa sheria Dr ndo cjui,darasa moja lina wanafunzi mia saba,watu wa law semister moja wanasoma unit kumi My mama cjui wanazielewaje?

Unit nyng sidhan km ni kigezo cha mwanafunz kutoelewa, labda uongelee mode of derivery and other factors.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom