Ila sijaelewa kilichosababisha huo mnaso. Nini hasa?
huu mwaka bora uishe, sitasahau siku niliyonasa kiunoni kwa masaa tisa nikijamiana na mwanamke.
sikujua kuwa ni mke wa mtu hadi aliposema yeye ni mke wa mtu na tukampigia bwanake simu kumjulisha kuwa teso lake limenasa.
Inatokea ukiwa unazini na mke wa mtu. Na inakuwa ni pale unapo mwaaaa-------
Kimbweka umenichekesha sana yaani amkumbuke Muumba wakati alikuwa anavunja amri kuu za Muumba atasikilizwa kweli??wakati mwengine unatakiwa usali huku unachomoa tratiiibu
hahaa haaaaaaaaaaaaaa hizi story ni za kweli au uzushi tuu mlinasaje na ulikuwa ushapiz au ndio game ilikuwa mbichi?
Ukivaa Condom je?
Mwambie Sumba akuelekeze kwa huyo mwanamke halafu ujaribu wewe na hiyo condom halafu utakuja kutuambia imekuwaje, si ndio ee
Askofu unaomba mzigo kwa njia za kilong sana ha ha haNiruhusu nijaribu kwako tafadhali
Askofu unaomba mzigo kwa njia za kilong sana ha ha ha