Mutambukamalogo
JF-Expert Member
- Jan 25, 2011
- 397
- 85
Ndugu,nyumba ya jirani yako ikiungua moto hautoenda kusaidia kuzima mpaka udai malipo kwanza. Kumbuka tuliamua kwenda kuwasaidia ndugu zetu wa Msumbiji baada ya kuona wareno wanashambulia mpaka Mtwara. Ulitaka wapige Dar ndio tustuke!. Nyerere alikuwa genious na hakungoja hayo yatokee.