Tulijua CUF ni Seif na kumkata Seif KAFU hawana nguvu-CCM

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,894
Nimeshangaa sana maneno haya yanamtoka mkubwa mmoja wa Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kwamba kama wakati wa janga la Meli ingalikuwa CUF hawako na CCM basi ingakukuwa balaa zaidi maana walio kufa wengi ni wapemba.Anasema muda wote walikuwa wanataka namna ya kuithibiti KAFU.Tuna bahati sana sana kwamba Seif alisha ingia mtego wetu kusingalika Pemba .Maana akisema yeye Seif hakuna wa zaidi yake .

Anasema kwamba kuikamata Chadema ni ngumu sana maana Mbowe ana pesa na kijana na Chadema ni moto hawajui CCM bara itafanyaje lakini wanaumia mno kichwa kumnsa Mbowe ili Chadema iwe kama KAFU .Waliijua bei ya Seif ila hawajui ni nini gharama ya kuinunua Chadema au Mbowe au Slaa.Wamejaribu njia nyingi lakini bado wanagonga ukuta na bado wanaona Chedema ina paa mno .

Haya wana JF nilitaka mjue nini kimeikumbuka KAFU sasa wanataka kuinunua Chadema pia .
 
Chadema imeshanunuliwa huna habari kumbe..

Wataomba wenyewe NDOA ..just wait and see..
 
kama nyie mlivyo taka ndoa!?

Mkuu hayo mambo ya ndoa wanapenda washabiki wa cdm

Lakini kwenye siasa inaitwa muafaka..

Unaweza kutokana na kulazimishwa na wananchi ..kama huu wa CUF na CCM

Ambao cdm wanauponda??? lakini nimemuona mwanakijiji anapendekeza chadema wakutane na ccm (nani anaomba ndoa hapo??)
 
kwa hiyo mwanakijiji ni msemaji wa chadema!?
 
=Topical;2848725]Mkuu hayo mambo ya ndoa wanapenda washabiki wa cdm Lakini kwenye siasa inaitwa muafaka.. Unaweza kutokana na kulazimishwa na wananchi ..kama huu wa CUF na CCM Ambao cdm wanauponda??? lakini nimemuona mwanakijiji anapendekeza chadema wakutane na ccm (nani anaomba ndoa hapo??)
WE NI KILAZA KWELI ELEWA KUWA KUNA WAKATI LAZIMA VIONGOZI WA VYAAMA WAKAE WAZUNGUMZE KWA MASLAI YA TAIFA MFANO ISHU YA ARUSHA, wasipokaa kwenye meza ya mazungumzo lzm damu imwagike
 
Mkuu hayo mambo ya ndoa wanapenda washabiki wa cdm Lakini kwenye siasa inaitwa muafaka.. Unaweza kutokana na kulazimishwa na wananchi ..kama huu wa CUF na CCM Ambao cdm wanauponda??? lakini nimemuona mwanakijiji anapendekeza chadema wakutane na ccm (nani anaomba ndoa hapo??)[/QUOTE) WE NI KILAZA KWELI ELEWA KUWA KUNA WAKATI LAZIMA VIONGOZI WA VYAAMA WAKAE WAZUNGUMZE KWA MASLAI YA TAIFA MFANO ISHU YA ARUSHA, wasipokaa kwenye meza ya mazungumzo lzm damu imwagike

Kwa hiyo mtakubali kufunga NDOA??
 
If at all you would realize the game behind it, then you would know that they
both played a Foolish game of politics. You need to be wise in Tanzania politics.
 
CUF NI MAALIM SEIF na CDM NI MBOWE, SLAA,TUNDU,MNYIKA,HALIMA na wengine wote ambao wote ni vichwa vya hatari si rahisi wakubali kununuliwa na magamba!
 
TOPICAL. nilidhani Mwanakijiji alitoa ushauri kama mtz yeyote. Au unataka kuliambia jukwaa hili kuwa Mwanakijiji ni msemaji wa CCM?
Mkuu hayo mambo ya ndoa wanapenda washabiki wa cdm

Lakini kwenye siasa inaitwa muafaka..

Unaweza kutokana na kulazimishwa na wananchi ..kama huu wa CUF na CCM

Ambao cdm wanauponda??? lakini nimemuona mwanakijiji anapendekeza chadema wakutane na ccm (nani anaomba ndoa hapo??)
 
"MENTAL" Suffering from an illness of the mind!

]"MENTAL" is the word derived from the adjective TEMPERAMENTAL: a person used to sudden changes in mood. Because Americans can't spell, the word has been shortened to the last two syllables, but everybody has forgotten about the original spelling. That's why shortening words is always a bad idea.
 
CUF NI MAALIM SEIF na CDM NI MBOWE, SLAA,TUNDU,MNYIKA,HALIMA na wengine wote ambao wote ni vichwa vya hatari si rahisi wakubali kununuliwa na magamba!

Angel listen CCM wana haha maana wanajua kwamba Chadema si Mbowe kwa kuwa Chadema sasa ni nguvu ya umma .Na wao wanasemaa kwamba hata kama ingalikuwa chadema ni Mbowe bado jamaa haingiliki hata kidogo hofu imetanda .Wakasema waliijua bei ya Seif na kuimaliza KAFU ila kwa bara is hard for them .
 
TOPICAL. nilidhani Mwanakijiji alitoa ushauri kama mtz yeyote. Au unataka kuliambia jukwaa hili kuwa Mwanakijiji ni msemaji wa CCM?

Mwanakijiji si muwakilishi wa watanzania?? huwa ni mshauri mzuri wa Chadema...msikilizeni mfunge ndoa haraka
 
Nimeshangaa sana maneno haya yanamtoka mkubwa mmoja wa Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kwamba kama wakati wa janga la Meli ingalikuwa CUF hawako na CCM basi ingakukuwa balaa zaidi maana walio kufa wengi ni wapemba.Anasema muda wote walikuwa wanataka namna ya kuithibiti KAFU.Tuna bahati sana sana kwamba Seif alisha ingia mtego wetu kusingalika Pemba .Maana akisema yeye Seif hakuna wa zaidi yake .

Anasema kwamba kuikamata Chadema ni ngumu sana maana Mbowe ana pesa na kijana na Chadema ni moto hawajui CCM bara itafanyaje lakini wanaumia mno kichwa kumnsa Mbowe ili Chadema iwe kama KAFU .Waliijua bei ya Seif ila hawajui ni nini gharama ya kuinunua Chadema au Mbowe au Slaa.Wamejaribu njia nyingi lakini bado wanagonga ukuta na bado wanaona Chedema ina paa mno .

Haya wana JF nilitaka mjue nini kimeikumbuka KAFU sasa wanataka kuinunua Chadema pia .
Kwanza weka Source ya habari yako ndio tuchangie kwa mujibu wa huyo aliyesema maneno hayo.
 
Back
Top Bottom