Tuliishia wapi?

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,001
9,867
Ticha mmoja wakat anafundisha alijamba kwa bahati mbaya kwa aibu akaomba likizo ya mwezi mzima. Aliporudi akauliza wanafunzi wake "tuliishia wapi?" wanafunzi wakajibu 'tuliishia pale ulipojamba'.
 
Hapo itabidi aombe likizo ndefu hadi hilo darasa litakapomaliza shule
 
Ticha mmoja wakat anafundisha alijamba kwa bahati mbaya kwa aibu akaomba likizo ya mwezi mzima. Aliporudi akauliza wanafunzi wake "tuliishia wapi?" wanafunzi wakajibu 'tuliishia pale ulipojamba'.

anauliza ya nini?
 
Back
Top Bottom