Elections 2010 Tulifurahi pamoja, tukadhalilishwa, tukaonewa pamoja, sasa…

Tulifisidi pamoja, tulifurahi pamoja, tukadhalilishwa, tukaonewa pamoja, sasa tuokoane...
 
Naam
hii ndo tanzania yenye viongozi wanao TANZA (zuia/ kinga) NIA (malengo) ZUIAMALENGO kama ukitafsiri TANZANIA kwa kiswahili fasaha.
 
Hii habari imeniacha Hoi bin Taabani, huyu jamaa analalama, alipewa muda bungeni hakuweza kuutumia , saa hizi asiwape watanzania hasira bure;
Tulifurahi pamoja, tukadhalilishwa, tukaonewa pamoja, sasa…

Ukiona hivyo ujue huyo jamaa ni kilaza full na anawafuasi mbaya huko Arusha nasikia anamsaidia batilada kumwaga pesa tuuu huko yaani ni maaajabu chadema hawatumiii nguvu kuita watu ila CCM inawaita watu kwa pesa hii twawajengea watanzania tabia mbaya sana.

kama viongozi wanawahonga watu kuja kwa mikutano yao watakurudishia vipi iyo pesaaa???

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom