Tulicho kitaka hiki na hali itakuwa mbaya tusipojiangalia

nguluvisonzo

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
515
71
Waraka huu ni hatari tena unaonyesha wazi hawa ndugu zetu wameamua kuucha mziki huu uliopigwa sana 2010 na CCM,walitaadharishwa juu ya maneno yao leo wanahangaika kuuzima huu muziki inashindikana,kwa waraka huu tunasemaje juu ya hatma ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania?.walishabikia sana walifikiri watu wameweka pamba masikioni leo wanawaambia watawala ila sauti nzuri ya ule muziki tunaurudia kwa nguvu sana.
Waraka huu unasikitisha na kwa kweli laiti wachochezi wa masuala ya kidini wangejua yatakayotokea wasingfanya hivyo.
 
Niliusoma nikasikitika sana mambo wanayowasingizia chadema. Ila wenyewe sasa hivi sijui ndiyo wanafanya nini?
 
Haya ndio mawazo mgando ambayo viongozi walioshindwa wanapenda kuyatumia kama mwavuli wa kuficha udhaifu wao. Kwa kweli nimesikitika sana kusoma kitu kama hichi kinachoonyesha jinsi tutakavyopotea kama hatutakuwa makini. Kwa kweli lawama vyingi zitaendelea kuwa kwa viongozi wetu na siasa chafu pamoja na kuacha kukemea vitendo viovu vinavyochochewa na watu wachache katika jamii yetu. This is too bad to read!!!
 
haya ndio mawazo mgando ambayo viongozi walioshindwa wanapenda kuyatumia kama mwavuli wa kuficha udhaifu wao. Kwa kweli nimesikitika sana kusoma kitu kama hichi kinachoonyesha jinsi tutakavyopotea kama hatutakuwa makini. Kwa kweli lawama vyingi zitaendelea kuwa kwa viongozi wetu na siasa chafu pamoja na kuacha kukemea vitendo viovu vinavyochochewa na watu wachache katika jamii yetu. This is too bad to read!!!

======================================================================

ukiusoma vizuri utagundua ni mwana-ccm tena wa ngazi za juu kauandaa waraka huu. It is useless. Mbinu chafu za udini ktk siasa za c.c.m
 
Waraka wenyewe ni vurugu tupu. Shetani anapodanganya huweka na ukweli kiasi ili kuhalarisha uongo. "Kuonekana kuwa DHAIFU na kuwa hawawezi kuongoza". Mengine ni uchochezi. "Wajinga ndio waliwao".
 
Mkuu nguluvisonzo mimi nna u-repost katika format nyingine ili kila mtu aweze kuuona​

attachment.php

==
attachment.php

==​
attachment.php


==​
attachment.php

==​
attachment.php

==​
attachment.php

==​
attachment.php
 
kwa kweli kwa mtu aliyesoma na mwelewa hawezi peperushwa na huu uchafu, inadhihirisha wazi kwamba hauitakii meme serikali ya jamhuri ya muungano, na wala hauna malengo mazuri katika kuilinda aman tuliyonayo.
na pia naona ni mkakati madhubuti ulioandaliwa kwa nia ya kuingiza udini katika siasa kupitia mgongo wa wengine, ati wameamua kuwatumia wakristo wakatoliki, KKKT, na chama cha siasa kuwakilisha tuhuma zao, hili hata kwa mtoto wa darasa la kwanza ambae hajapitia madrasa anaweza kuelewa ni upuuzi, tena ujinga
Mungu ibariki Tanzania
 
Back
Top Bottom