Tulianza na Ari Mpya kasi Mpya .. Leo #Hapa Kazi tu.

Focus120

JF-Expert Member
Nov 10, 2014
1,090
786
Hivi mnaikumbuka hii back in 2005??
 

Attachments

  • 1442815074912.jpg
    1442815074912.jpg
    40.1 KB · Views: 110
Naikumbuka sana, inanikumbusha ahadi za kijani. Leo nikiona ahadi za mtu wa kijani najua ni yale yale. Maisha bora kwa wakubwa na ukoo wao.
 
Maisha bora hayajawafikia walio wengi
Kijani na manjano mpya kaahidi atawasaidia watu mahesabu waweze kusoma namba, kama watakuwa na majipu atajitolea kuwatumbua, atawafanya walime kwa "matrekta" na kuishi kama "malaika".

Uliza mtaani kama walio wengi hawajapata hayo mafanikio, tena kwa mwendokasi.

Maisha ya sasa yamekuwa yale yanayoahidiwa kwenye vitabu vya dini. Maisha bora kama ya peponi (mbinguni).
 
CCM Kwa mipasho eti " Ari mpya, maisha bora Kwa kila mtanzania ikawa tabu mtindo mmoja, sasa tunaambiwa Hapa Kazi tu
 
Back
Top Bottom