TUKUMBUSHIE

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,736
4,252
Jamaa mmoja alimwambia mkewe,leo tukumbushie enzi za uchumba wetu,wakakubaliana wakutane gesti saa 5asbh,jamaa akawa wa kwanza kufika alikaa mpaka saa12 jioni,dem hakutokea akarudi nyumbani kwa hasira akamuuliza mkewe kwanini haujaja???,mkewe akajibu mdingi alibana tufanye kesho bby.....!!!

 
Back
Top Bottom