Tukumbushane

Bakari hodari, kaenda safari, kamkuta kimamba ktk .............

Bakari hodari kaenda safari yoh,
Katika safari kashinda hatari yoh,
Mama yake Bakari kapata habari yoh,
Kasema hodari mwanangu Bakari yoh,
Tunajua ya kwamba atajigamba kumpiga kimamba yoh...
 
Karudi baba mmoja toka safari ya mbali,kavimba yote mapaja na kutetemeka mwili. Watoto wake wakaja ili kumtaka hali, wakataka na kauli iwafae maishani. Akajibu mgonjwa ninaumwa kwelikweli,hata kama nikichanjwa haitoki homa kali. MEMBER MWINGINE AENDELEZE
 
Bakari hodari kaenda safari yoh,
Katika safari kashinda hatari yoh,
Mama yake Bakari kapata habari yoh,
Kasema hodari mwanangu Bakari yoh,
Tunajua ya kwamba atajigamba kumpiga kimamba yoh...

If kantai can tie a tie and untie a tie why cant i tie a tie and untie a tie...malizia
 
Karudi baba mmoja toka safari ya mbali,kavimba yote mapaja na kutetemeka mwili. Watoto wake wakaja ili kumtaka hali, wakataka na kauli iwafae maishani. Akajibu mgonjwa ninaumwa kwelikweli,hata kama nikichanjwa haitoki homa kali. MEMBER MWINGINE AENDELEZE

Saa ya babu mzee yaenda vizur sasa ni miaka sitini na saba .. Nimesahau.
 
Saa ya babu mzee yaenda vizur sasa ni miaka sitini na saba .. Nimesahau.
duh!umenifungulia folder la zamani sana kwenye brain.ok lets go...-

ni ndefu kuliko mzee mwenyewe,lkn yeye ni mzee siku ile azaliwa,na ile saa yanunuliwa,ikamfurahisha daima.tisini miaka we,tiki taka,haichoki kulia we tik taka,ila tu basi haiendi tenaa-akifa mzee.
 
Bakari hodari kaenda safari yoh,
Katika safari kashinda hatari yoh,
Mama yake Bakari kapata habari yoh,
Kasema hodari mwanangu Bakari yoh,
Tunajua ya kwamba atajigamba kumpiga kimamba yoh...

Makari hodari na sio bakari kampiga kimamba katika miamba
 
Haya haya, unaikumbuka na hii.Juma ni mtoto mtundu sana,aliposikia kwamba ukifuata nyuki utakula asali..malizia hiyo.
 
Peter Pipper has picked a pepper. who picked a pepper, Peter Pipper has picked a pepper.
 
Mi nilikuwa kilaza bana.....
Hapa nazikumbuka zile picha za noti za shs 5 na 10. Nilikuwa natamani nizikate na kiwembe nikanunue banzoka.
... Kingine labda ni stori ya msela wangu Paulo Mchafu.
... Na wale masela waliotumwa wakatafute kile kitu,kifupi lakini kirefu. Kinaishi lakini hakionekani. Kidogo lakini kikubwa.....
 
Bakari hodari kaenda safari yoh,
Katika safari kashinda hatari yoh,
Mama yake Bakari kapata habari yoh,
Kasema hodari mwanangu Bakari yoh,
Tunajua ya kwamba atajigamba kumpiga kimamba yoh...

mkuu nimeukumbuka huu wimbo na naona unaufahamu vizuri. Hebu malizia basi ili tuwe sambamba.. Kuna vitabu vingine aliitwa MAKARI badala ya BAKARI
 
Watoto wake wakaja ili kumtaka hali,wakataka na kauli iwafae maishan,akatamka mgonjwa ninaumwa kwelikwel hata km nikicha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom