TUKUMBUSHANE SIKU 90 za MAPACHA watatu

gambatoto

Senior Member
May 25, 2011
175
28
Ndugu zangu wanaJF,

Tafadhali naomba mnikumbushe kwa yeyote anayekumbuka siku ya 90 ya Mapacha watatu (EL, AC na RA) zinaisha lini?

Au kama utakuwa unakumbuka siku zilipoanza kuhesabiwa. Najua Nape nimwanaJF angesaidia sana lakini naona hazungumzii tena siku hizi.
 
Na kweli hii muhimu sana. Hivi hakuna namna ya mods kututengezea bango la count down humu jamvini?
 
Kama kweli wako makini,na wana nia ya dhati ni tarehe 10-7.lakini ilikuwa ni mkwara wa kuingilia ili wajulikane,HAMNA LOLOTE!labda angekuwa Makamba,lakini huyu kasuku mhh
 
Kama kweli wako makini,na wana nia ya dhati ni tarehe 10-7.lakini ilikuwa ni mkwara wa kuingilia ili wajulikane,HAMNA LOLOTE!labda angekuwa Makamba,lakini huyu kasuku mhh

Khaaaaa! Makamba yule msema ovyo au yupi? Ooooh, plse!
 
Wana JF
Siku 90 za mapacha watatu ndani ya CCM kujivua gamba ndo zinayoyoma hivyo!
Kwa umri kama wa Kaka Nnape ktk chama kama CCM na magamba yote haya ungefanyaje?

Binafsi, ningeamua kukaa pembeni kwa kuachana na kazi za Itikadi na Uenezi ..............:A S-confused1:
 
Wanajidanganya wenyewe, CCM tulishaachana nayo siku nyingi sana, so, hata siku 90 zikiisha kazi kwao, wawatose, wawaache sie vijana ni CDM tu kwenda mbele.
 
Nnape ni kijana kama vijana wengine wenye ndoto juu ya maisha ya Watanzania.

Kwa vile Nnape hajachafuka kisiasa na kijamii, ningekuwa yeye mara tu baada ya siku 90 za hawa mapacha watatu kujivua gamba kuisha....NINGEJIUZULU, FULL STOP!

Na kama Nnape akijiuzulu kwa hilo, atawakoga sana watanzania wapenda maendeleo na mabadiliko.

Ata hivyo, itakuwa juu ya Nnape kupima mwenyewe!
 
Nape anashika pembe,ngoja ifike 2015 atakavyoenguliwa na wakamuaji wajizolee nafasi za kugombea ubunge na yeye kuacha akishangaa.Chama cha magamba kina wenyewe nape hayumo kwenye list.Si tuliona mwaka jana!
 
Back
Top Bottom