Tukumbushane riwaya za kusisimua

Riwaya ya KULI inasisimua na kutia majonzi sana, kwa jinsi makuli walivyokuwa wanafanyiwa na wanyapara wao.

UCHUNGU SANa

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!

mizambwa napenda kuli pale mwisho wa kitabu yaaaani unasoma kuanzia mwanzo ukifika mwisho unakutana na usemi huu "yana mwisho haya"
 
Riwaya iliyoitwa MBIO ZA JASUSI! daah, taamu sana hii hata sikumbuki mtunzi nani na niliwahi kukiona Mara moja na nikakisoma hapo hapo!
 
Tumgidie b.w.e.ge.
Pesa zako zinanuka.
Lazima ufe joramu.
Kamlete akibisha mlipue.
Sifi mara mbili.
Akuanzae mlipue.
Bado mmoja.
Malaika wa shetani.
Sanda ya jambazi.
Salamu toka kuzimu.
Tutarudi na roho zetu.
Kabwe makanika jitu kumbuka.
Usiku wa balaa.
Buriani.
Hofu.
Kikosi cha kisasi.
Kufa na kupona.
Operesheni sukuma namba nane.

Umenifurahisha sana hapo kwa KABWE MAKANIKA! HiVi vitabu vya UNYAMA WA MAFIA nilivipenda coz karibu kila mtu alikua staring. Dr Motown- mzungu katili, Eddie Khaki-mpelelezi, akina jarufu ram, akina Mzee Helgal Karl ulrose na bastola yake ya mafia magnum350, binti Wa Helgal aitwaye HALIMA, nk. Ni zaidi ya miaka 17 sijavizoma hivi vitabu lakini nakumbuka!
 
Mungu akipenda wiki chache zijazo nitawatupia hapa kitabu kimoja cha riwaya ili mkipitie mtoe comments zenu kabla ya kuanza mfululizo wa kutoa vitabu vya riwaya mpya ambazo kwa kiasi kikubwa zitakuwa ni za kijasusi.Hili litakuwa ni jaribio la kwanza la kupima upepo ikiwa watanzania wa leo bado wapo wanaopenda kusoma vitabu vya aina hii.Nitawafahamisha jina la kitabu na mwandishi wake ziku za hivi karibuni. So, stay turned!
 
Riwaya iliyoitwa MBIO ZA JASUSI! daah, taamu sana hii hata sikumbuki mtunzi nani na niliwahi kukiona Mara moja na nikakisoma hapo hapo!

Niliwahi kupata kitabu cha huyo mtunzi kilichokua kinatangulia MBIO ZA JASUSI, bahati mbaya kurasa za mwanzo zilikua zimetoka sijaweza kujua kilikua kinaitwaje, kinaelezea safari ya mara ya kwanza ya Alex hadi alivyorudi bongo. then MBIO ZA JASUSI inakuja kuendelezea alipotekwa na kurudishwa south wakati wa ubaguzi wa rangi. Utatamani kua Jasusi tu.
 
aisee wewe ni mtu wa pili kukusikia unaijua hiyo story... dah! long tym sana halafu kitabu kitamu sana!
 
Kuna kitabu kinaitwa UTOTOLE muandishi simkumbik! Nilikisoma huku ninalia..!

hahahahaaaaaaaaaa! UTOTOLE ni noumer, bonge ya riwaya uchawi wa hatari na wakutisha upo ndani, nilisoma zamani sana hiki kitabu ! dah .. asante kwa kunikumbusha mkuu
 
Your are welcome mkuu! nalikumbuka pango la uriri picha yake bado ipo kwny brain aiseeee!
 
Riwaya iliyoitwa MBIO ZA JASUSI! daah, taamu sana hii hata sikumbuki mtunzi nani na niliwahi kukiona Mara moja na nikakisoma hapo hapo!

Liyumite, Frolika. 1989. Mbio za Jasusi. Dar es Salaam: Mashaka Publications
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom