Tukumbushane Nyimbo za Bongo Flava Zilizotamba enzi za 2000-2008

Enzi zangu ni za Ndani ya bongo wa Mr 2 a.k.a Sugu!
hyo ni b4 2000, toka ndani ya bongo, nje ya bongo, mwaka 2000 akaja na milenia, then muziki na maisha 2001. Hakuna tape ya sugu iliyonipita, lakini muzik na maisha naikubali mpaka leo.
 
hyo ni b4 2000, toka ndani ya bongo, nje ya bongo, mwaka 2000 akaja na milenia, then muziki na maisha 2001. Hakuna tape ya sugu iliyonipita, lakini muzik na maisha naikubali mpaka leo.
hivi moto chini ilitoka lini?
 
Sijui ilikua nani, nakumbuka tu alikua chipukizi wa mwanza,ila hio chorus alikua mdada ana sauti bomba ile mbaya...
Alikuwa ni SUMA G (GENIUS) nakumbuka sana! Unawakumbuka MABAGA FRESH WEWE?
 
enzi hizo ule wimbo wa Mb-dog "LATIFA" ukichezwa radion, mwenzenu nilikuwa napelekwa dunia nyingine kihisia, nakumbuka pia ule wimbo wa Prof. Jay "ZALI LA MENTALI" ulinibamba pia. Zipo nyimbo nyingi km vile ZEZE, KIKONGWE, KAMANDA, BARUA, MZEE WA BUSARA etc. We mwenzangu uliupenda wimbo/nyimbo gani zilizotamba enzi hizo? Tumetoka mbali sana!

"Mwokozi nitoe roho niepuke hii balaa" huo ndio wimbo ulionifanya nianze kusikiliza bongo fleva.
 
hivi moto chini ilitoka lini?
kama siyo 20033 basi ni 2004. hilo lilikuwa dongo la Clouds fm "hata usipopiga nyimbo zangu redion hakuna maneno, nilianza kusikika kabla ya fm na watu walinifahamu na wengine wakasema sugu anaponda mademu"
 
Huuu wimbo unatukubusha ipo siku tutakuwa no more. Kifo sio kizuri but huu wimbo i like it

Kamanda- Daz Nundaz


Nipe Tano


Alafu kuna hawa jamaa wa mandojo na domo kaya.Aisee nilikuwa nawafagilia sana na nyimb zao kama wanock nock


Bila kumsahau Afande sele darubini
 
Last edited by a moderator:
Jinsi kijana- Juma Nature
ilikuwa inakonga moyo sana, Lizzy sio kila thread uchangie na wewe sio mod tafadhari
 
Album - ukweli mtupu, 'songi' liliotingisha Tanga kunani - Dr john & Mkololoni pata huu mstari wanakwambia "promise zao ni nyingi ila haziambiiki sijui wametutenda ni mabahau au ni visiki"
 
Kuna wimbo wa banana unaitwa "mama yangu". Nimeungalia jana You tube he was real young. Nimemkumbuka pia sister P ingawa nyimbo zake nimesahau majina. Kuna pia ule "mtoto wa geti kali".

Watoto wa TMK wananiachaga hoi. Nyimbo zao nyingi zinazungumzia jinsi friji ilivyojaa mazagazaga.
 
critic toka daz nundaz kwanza, scount jenta ninalia............, km tabia zangu zinawakera wangu masela mnisamehe. SCOUNT JENTAZ hao walikuwa ndani ya DAZ NUNDAZ
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom