Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,033
- 79,015
Kwanza unge-declare kwamba mimi Mtoto wa Agwe Jumanne alias John Malecela naomba kutoa utetezi huu na ule! kama wanavyofanya mabunge yaliyoendelea sio letu la pale Idodomya! sawa? nakufundisha siasa hapa!- Kwa hiyo unanishauri nisimjadili nikuachie is that right? Nitakuachia kama ndivyo unavyotaka au?
Willie @ NYc, USA.